Kumbe kubandika stika ya BIMA kwenye kioo cha gari ni lazima, hata kama umekata BIMA yako mtandaoni

Wana bodi .. Stika zilikuwa zinatolewa na TIRA , Siku hizi TIRA hawatoi stika hizo.. Na hapo nyuma kabla technologia haijasogea. Sticka ilikuwa ni kielelezo tu cha kuonyesha kwa vyombo vya sheria na wengineo kujua mtu amekata bima... Kwanza huyo akumbuke bima ni mkataba , kama mikataba mingine... Je ukiwa umenunua nyumba au umepanga nyumba unabandika stika kwenye nyumba ?

Kinachotakiwa na hata nchi nyingine wanafanya hivyo uwe na cover note na baadaye unapata policy kwisha... Stika ni mambo ya kizamani... Na ungeweza kuchukua number ya askari huyo ukamshtaki kwa wakubwa zake kwa kuvunja sheria ya nchi.
 
Hili suala linahitaji elimu sana maana kwa utaratibu huo watu watapigwa sana hela zao bila kujua , mimi nijuavyo ni kwamba hakuna tena stika sikuhizi ndiomaana hata vodacom wanatuma kwa wateja wao SMS kama hii "Je wajua? Hauhitaji kubandika stika ya bima kwenye chombo cha usafiri.Tumia VodaBima upate stika kwa SMS inayotambulika na mamlaka zote. Kununua piga *150*00# Huduma za kifedha-VodaBima" sasa sijui which is which , wanaojua waingilie kati suala hili.
 

Je wajua? Hauhitajiki kubandika stika ya bima kwenye chombo cha usafiri. Tumia VodaBima upate stika kwa SMS inayotambulika na mamlaka zote. Kununua, Piga *150*00# >Huduma za kifedha>VodaBima.

[emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Walikuona mlugaluga wakaamua kukupiga. Bima zote sasa hivi hazina stika.
 
WEWE NA HUYO TRAFIKI NI MAPIMBI,BIMA SASA HIVI HAWATOI STICKER FALA WEWE,HAKUNA KAMPUNI YA BIMA INAYOKUPA STICKER SASA UTABANDIKA SIMU?PIMBI KILA SIKU ZINAZALIWA KUMBE
 
Je wajua? Hauhitajiki kubandika stika ya bima kwenye chombo cha usafiri. Tumia VodaBima upate stika kwa SMS inayotambulika na mamlaka zote. Kununua, Piga *150*00# >Huduma za kifedha>VodaBima.
 
Ina maana wewe hukuona tangazo la TIRA kuhusu kusitishwa utoaji wa stika za bima? Au unataka kutetea Uzenge wa uyo askari?
TIRA na Polisi vitu viwili tofauti, usijitoe ufahamu kama hujui uko nchi gani
 
Usikubali kuchafua gari yako na stika zao kikubwa umekata basi then tembea na Data
Zako mkuu
 
Na wewe ukakubali kuandikiwa? Unaandikiwa na umeshakata bima?! Umeshindwa kumpigia hata mtoa huduma wako wa Bima ili amuelekeze huyo askari kilaza?
These days hatuna ujanja kwa kuwa wana zile mashine zao.

Infact anaweza kukuandikia hata usiposimama, provided ameweza kusoma namba za gari na ukaja kukumbana na deni lako huko mbele. Hii imewapa mwanya mkubwa sana wa kutubambikizia kesi
 
Nishapigwa fine mkuu
Hahahaaaa acha utani mkuu,mi naamini sheria
Sio msahafu wala biblia kwamba huwezi badili kitu kama sheria inambana mlaji lazima ishughulikiwe huwezi kuchafua gari na masticker kibao kwenye gari
 
TIRA na Polisi vitu viwili tofauti, usijitoe ufahamu kama hujui uko nchi gani
Kwa taarifa yako police wanasimamia sheria na kanuni zilizotungwa na mamlaka nyingine. Usipende kukariri kila kitu
 
Mkuu, kivipi. Siku hizi ukienda kukata Bima haupewi kile cha kubandika ila unapewa tu katarasi kubwa ya A4 inayoonesha umelipia Bima. Sasa utabandikaje?
Ameshindwa kumuelezea. Mimi kwa miezi miwili nimesafiri na gari halina karatasi yoyote kwenye kioo. Na navuka mikoa zaidi ya Mitatu.
 
Hapo umepigwa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…