Naona mnaeleweshana kitu kinachojulikana. Serikali inajua trafiki anajua marekebisho hayo. Shida ni maslahi binafsi, lengo la sheria ilikuwa kufidia anayeathiriwa na ajari (compensation) sasa serikali ikaitumia sheria hiyo Kama vyanzo vya mapato, na trafiki nao wanaitumia kuganga njaa.
Swali la kizushi, hivi faini huwa inaenda wapi, serikalini au bima?