Kumbe kumwaga chini mbegu ya uzazi, ni kosa kubwa sawa na kuua!

Okay nkirudi kwenye mada kumwaga nje, nyeto .. uzazi wa mpango siyo dhambi...
 
Kujiamria nako siyo poa,ndo maana sikuhizi watu hujiamria kuua watoto wa watu eti kisa wamewatolea mahari
Ethics and morals..

Katika sperms mamilioni moja pekee ndiyo hurutubisha Zingine zaenda wapi?
 
Ulizomwaga umemwaga na hiyo Moja sasa
Okay zile za safe days huwa zaenda wapi...

Tutambue kuwa mwanadamu hajamiiani KWA ajili ya Kuzaana pekee pia KWA ajili ya kujiburudisha .. enhe huwa zaenda wapi?
 
Yaan ndio umejua leo baada ya kupiga selfie mda mrefu, roho iradhi lakini mwili ni dhaifu yaan roho inakukataka usijichue ila mwili unataka ujichue mwisho wako unapiga PUNYETO unaiua ROHO sio MWILI, MWILI utaishi ila ROHO ishakufa

Biblia inazungumzia maisha ya ROHO sio MWILI

Umenielewa?
 


Ndiyo bro mekuelewa
 
Sasa umeamini kwa nini mzabzab nasemaga kila leo hapa kuwa kumgegeda demu na condom ni ufalaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…