Kumbe kumwaga chini mbegu ya uzazi, ni kosa kubwa sawa na kuua!

Kumbe kumwaga chini mbegu ya uzazi, ni kosa kubwa sawa na kuua!

Yaan ndio umejua leo baada ya kupiga selfie mda mrefu, roho iradhi lakini mwili ni dhaifu yaan roho inakukataka usijichue ila mwili unataka ujichue mwisho wako unapiga PUNYETO unaiua ROHO sio MWILI, MWILI utaishi ila ROHO ishakufa

Biblia inazungumzia maisha ya ROHO sio MWILI

Umenielewa?
 
Ndiyo bro mekuelewa
 
Ni kitabu cha Mwanzo 38:6-10 neno linasema hivi, "Yuda akamwoza mke Eric, mzaliwa wake wa kwanza, na jina lake huyo mke ni Tamari. Naye Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mbaya machoni pa Bwana; na Bwana akamwua. Yuda akamwambia Onani, mzaliwa wake wa pili, uingie kwa mke wa nduguyo ukamwoe, ukamwinulie nduguyo uzao."

"Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake, ikawa, alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguye uzao. Neno hili alilolifanya likawa baya machoni pa BBwana, basi akamwua yeye naye."

😳Kumwagia nje hizo mbegu kumbe ni chukizo mbele ya Mwenyezi Mungu wajameni?🤦
Sasa umeamini kwa nini mzabzab nasemaga kila leo hapa kuwa kumgegeda demu na condom ni ufalaaa
 
Back
Top Bottom