Kwahiyo wanafanyaje kupanga familia
Kumwaga chini ni kosa kama kuua
Mwanaume ana damu mbili, damu nyeupe ya uzazi na damu nyekundu ya uhai wake
Damu haichezewi
Shuka kisa icho jpil leo tupate upakoSawa,nitakuja na kisa Cha tamari kulala na baba mkwe
Nyeto ni dhambi mzee...kumbuka mkuu Jesus maneno yake..."ukimtamani tuu mwanamke asiye mke wako tayari umeshazini naye".. kwa hiyo wale wanawake woote mtu anaokuwa ana wa imagine kwenye nyeto...kiroho inahesabika ameshazini naoOkay nkirudi kwenye mada kumwaga nje, nyeto .. uzazi wa mpango siyo dhambi...
Nini malengo haswa ya kumwagaZile siku mnapiga kazi bila kupata ujauzito zinahesabiwa dhambi au sio dhambi?
Nini malengo haswa ya kumwaga
Sawa,nitakuja na kisa Cha tamari kulala na baba mkwe
9. Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.Ni kitabu cha Mwanzo 38:6-10 neno linasema hivi:
6. Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari.
7. Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; hivyo Mwenyezi-Mungu akamuua.
8. Basi, Yuda akamwambia Onani, “Mchukue mke wa ndugu yako marehemu, kwani ndivyo inavyokupasa kufanya, upate kumzalia nduguyo watoto.”
9. Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.
10. Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.
[emoji15]Kumwagia nje hizo mbegu kumbe ni chukizo mbele ya Mwenyezi Mungu wajameni?[emoji1751]
Sio sisi ni Onani huyoNi kitabu cha Mwanzo 38:6-10 neno linasema hivi:
6. Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari.
7. Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; hivyo Mwenyezi-Mungu akamuua.
8. Basi, Yuda akamwambia Onani, “Mchukue mke wa ndugu yako marehemu, kwani ndivyo inavyokupasa kufanya, upate kumzalia nduguyo watoto.”
9. Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.
10. Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.
[emoji15]Kumwagia nje hizo mbegu kumbe ni chukizo mbele ya Mwenyezi Mungu wajameni?[emoji1751]
Mnatafuta Sababu sana🤨9. Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.
10. Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.
[emoji1752]
Yan na ualimu wako umeshindwa kuelewa hapa kosa ni lipi!?Ni kitabu cha Mwanzo 38:6-10 neno linasema hivi:
6. Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari.
7. Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; hivyo Mwenyezi-Mungu akamuua.
8. Basi, Yuda akamwambia Onani, “Mchukue mke wa ndugu yako marehemu, kwani ndivyo inavyokupasa kufanya, upate kumzalia nduguyo watoto.”
9. Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.
10. Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.
😳Kumwagia nje hizo mbegu kumbe ni chukizo mbele ya Mwenyezi Mungu wajameni?🤦
Oo,🤣 endelea kupigaYan na ualimu wako umeshindwa kuelewa hapa kosa ni lipi!?
Hapo kosa sio kumwaga nje bali kosa ni kukiuka maagizo makusudi ya kutotaka kuzaa na mke wa nduguye. Kwaiyo hapo Ata kama jamaa angekwepa na kumgonga huyo dem siku ambazo sio za kushika ujauzito makusudi ili asizae nae bado angepata hukumu hyo hyo
Kwahio hata kufanya tendo wakati ambao sio wa kushika mimba inapaswa iwe dhambi kubwa..Ni dhambi hata uzazi wa mpango ni dhambi vile vile