GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
" TV Sponsorship ni tofauti kidogo na uwekezaji ambayo unaweka 20bil mara moja sio kwa mgawanyiko. Kama watu wanafikiri ni rahisi basi atokee mdhamini atoe hata nusu Tsh 20bn kwa mkupuo. Wadhamini wenyewe wanategemea kupata humo humo ili waweze kulipa tena "
Chanzo: @privaldinho
Haya sasa wana Yanga SC ambao Kutwa mnamdhihaki Mohammed Dewji 'Mo' wa Simba SC kuwa hana Hela hizo B20 za kuweka Simba SC hebu mwambieni basi Bakhressa awape hizo B41 kwa mkupuo au waambieni hao Matajiri wenu mnaowategemea akina Gharib, Rostam na Manji nao waweke hayo 'Mabilioni' yao waliyowaahidi kwa mkupuo ( mara moja ) ili tuone Jeuri yao ya Pesa.
Na uzuri ni kwamba huyu Mchambuzi Privaldinho wa Clouds FM ( CMG ) ni mwana Yanga SC 'Kindakindaki' kabisa ila kwa hapa katika Uchambuzi wake ameonyesha ni jinsi gani huenda akawa na Akili sana kuliko wana Yanga SC wengi Oya Oya ( Wapuuzi ) na wenye Umbwiga ( Ushamba ) mwingi na uwezo mdogo wa Kufikiri.
Na ndiyo maana hata GSM na Injinia Hersi Said wametengeneza Jezi 250,000 Wanauza sana tu, ila wamewaambia Yanga SC kuwa mpaka sasa wametengeneza Jezi 80,000 na Mwenyekiti wenu Mshindo Mbwete Msolla kaamini na wao ( GSM ) wanajitajirisha zaidi.