Kumbe kuna watu wana PhD halafu wanalipwa laki 5?

Sasa si bora niishie zangu tu Darasa la 7 ili nijue moja ambapo naweza Kupambana na nikaipata Pesa zaidi ya hiyo kuliko Kulipwa ukiwa Msomi?
Kusoma kuna faida zaidi ya laki 5

Ukilaza mbaya jamani
 
Mishahara na posho za wabunge ipunguzwe kwani hailingani na pato halisi la mtanzania na wanaishi ulimwengu mwingine kabisa.
Swala la kubana matumizi yaelekea halipo kabisa bungeni na ni wakati muafaka kwa serikali kulitupia jicho suala hili. Mafuriko ya wagombea yanathibitisha hili ikiwa limekaa kimaslahi kuliko wito wa kuwatumikia wananchi majimboni.
 
Makonda feb 15 ,1982
Gambo may 22, 1982
Haya maisha bana,Le Mutuz amezaliwa 1960 lkn akikutana na hao machalii hapo juu anabaki akijichekesha chekesha tu huku akijisemesha Yu Know The billionairez Goddamn bla bla bla...
 
Wanajua wakiwabana kwny posho/maslahi yao nao wabunge wataibana kisawasawa serikali humo bungeni,So dawa ni kuwapa pesa za kutosha wanywe pombe sana tu wakija asubuhi wana ma hangover ya hatari wanagonga meza tu na pia wawe bize na wanawake/mrax wa dodoma.
 
Aaaaae mbona zinapatikana tu mtaaani tena hata kabla ya mwezi
 
Mimi Nina degree lkn mahahara wangu wa mwanza naanza kazi ilikua 350000
 
Afisa mtendaji wa mtaa au??
Maana wa kata level ni za degree na zamani waliajiriwa wa diploma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…