Kumbe kuoa ni kugumu hivi? Aisee mniombee niko hoi bin taabani

Hivi nyie wana mliokaa kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi mmefanyeje aisee? Yaani sio poa wakuu yaani niko hoi bin taabani ndiyo kwanza ndoa yangu ina wiki mbili tu aisee najihisi kuchoka na kukata tamaa wakuu...
sasa kijana,
Penye maumivu au uchungu siku zote ndio patamu.

ndoa si lelemama kulialia in public,
ndoa ikiwa chungu unalilia chumbani ukitoka kwenye public unacheka na long smile, we vep bana,

Majukumu ktk ndoa ni fursa muhimu zaidi ya kupanua akili na kuchochea ari ya kuwajibika na kufanya bidii zaidi ya kutafuta mahitaji muhimu ya familia na kuifanya ndoa ishamiri, iimarike, istawi na iwe tamu zaidi,

kaza buti kwa bidii, usikate tamaa mbele ni kuzuri.....
 
Ulitumwa na nani!?,umewahi kuishi mwezi mmoja au miwili mfululizo na uliyemuoa kabla hamjaoana!?, Au mlikuwa mnaviziana mpewe baraka za kijinga na jamii!?...

Kwakweli wanaolalamika hivii unakuta hamjui mwenza wake vizuri[emoji23] Yani mtu mnakutaa geto mnakaa masaa kadhaa kila mtu anakula chake na hapo mahusiano hayana hata miaka miwili afu mnatangza ndoa[emoji23][emoji174]

Hii kitu ndo inawatesa wengi em juaneni kwanza pangeni mambo yenu vizuri jua hasira ya mwenzio ipo wapi ndo hayo humjui mtu vizuri afu unafunga nae ndoa kumbe mwenzio akiwa na hasira analia[emoji1787][emoji1787] jamani em juaneni vizuri ili hizi mambo zisiwepo ishi na mwenza wako hata miez 6 tuu umjue vizuri
 
Kwa Habari ya Maamuzi, jitahidi kushiriki Sha, ila sio kila kitu.. Maana huu ndio muda nasoma a kwa karibu, jaribu moja baada ya lingine ili kuona maturity ya mwenzako, ukimshirikisha yote alafu ukete ni immature utakomaaaa
Kuhusu Majukumu, huu ni muda amabo hupaswi kupretend... Mwambie mabichi na mbivu usijibebeshe kila kitu.... Mwambie hali yako kiuchumi, mshirikishe akupe mawazo namna ya kutatua uhitaji lililombele yenu
 
Cheti c anatoa uvccm
 

Miaka 27 ulikuwa unakimbilia wapi? Ndo inahitaji descpline. Kama hukuwa tayari ku share hizo info na mwenzio ulikubali ya nn?
Umekurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…