kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
kwani huwe zeze mkuuKuishi na mtu inahitaji uwe ZEZETA
kwahiyo huwezi kushindana na watu kwa nguvu ? be smart not hard ?Ukiwa huna akili usioe, imeandikwa ishini nao kwa akili.
Sio kweli na ukweli upo hivi asilimia 80 ya wanaume wote walio oa ni dhaifuJapo mimi sijaoa na sitaoa ila kuoa na kumiliki mke na familia sio jambo dogo, ni watu wenye upeo wa juu wa kujua namna ya kuweka hali yoyote katika msawazo / balance , na mara nyingi wanafaa hata kuwa viongozi wanchi.
ThibitishaSio kweli na ukweli upo hivi asilimia 80 ya wanaume wote walio oa ni dhaifu
Mc pili pili na orodha inakujaThibitisha
kwa hii comment yako tu ndiyo imetoka kupiga msumari wa moto kuwa ndoa ni kwa ajili ya wanaume dhaifuBwana mdogo yaliyopo kwenye ndoa ni makubwa zaidi ya kukaa darasani na kusolve algolithims hivyo wape heshima yao waliooa na bado unaona wanadunda vizuri
umesema baba yako hakuoa na ana mafanikio si wanasemaga kwenye mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke?Binafsi najivunia sana baba yangu, mzee wangu ni mwanaume halisi kabisa kwanza hajawahi kuniambia hata siku moja eti ooh mwanangu mbona bado ujaoa never na nahisi atoniambia kwa sababu hata yeye mwenyewe hajawai kuoa
Na kuna utofauti mkubwa sana nikimuona baba na ndugu zake yeye ana mafanikio makubwa kuliko ndugu yake yoyote na kwa point hiyo nikaona kuona ni kwa ajili
Binafsi najivunia sana baba yangu, mzee wangu ni mwanaume halisi kabisa kwanza hajawahi kuniambia hata siku moja eti ooh mwanangu mbona bado ujaoa never na nahisi atoniambia kwa sababu hata yeye mwenyewe hajawai kuoa
Na kuna utofauti mkubwa sana nikimuona baba na ndugu zake yeye ana mafanikio makubwa kuliko ndugu yake yoyote na kwa point hiyo nikaona kuona ni kwa ajili ya wanaume dhaifu View attachment 3198595
ya wanaume dhaifu View attachment 3198595
Ni hivi wanaume wanapenda penda wale a.k.a masharkhan bubu a.k.a wapenda chini ndo huwa dahifu sanaUmekosea, "kuoa si kwa mwanaume dhaifu"
Kama unaogopa hutammudu mie, utulie.
Ni maneno tu hayo ila ipo mifano mingi watu wanapambana wenyewe na wanatoboa fesh tuumesema baba yako hakuoa na ana mafanikio si wanasemaga kwenye mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke?
Baba yako hajaou kwa hiyo wewe ni mtoto wa zinaaumesema baba yako hakuoa na ana mafanikio si wanasemaga kwenye mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke?