Kumbe kuoa ni kwa ajili ya wanaume wadhaifu tu!

Kumbe kuoa ni kwa ajili ya wanaume wadhaifu tu!

20250105_180916.jpg
 
Japo mimi sijaoa na sitaoa ila kuoa na kumiliki mke na familia sio jambo dogo, ni watu wenye upeo wa juu wa kujua namna ya kuweka hali yoyote katika msawazo / balance , na mara nyingi wanafaa hata kuwa viongozi wanchi.
sahihi, ndo maana huwezi kuwa mgombea iraisi kama hujaoa maana yake kama umeshindwa kuwa na familia ukaiongoza utawezaje kuiongoza nchi!
 
Binafsi najivunia sana baba yangu, mzee wangu ni mwanaume halisi kabisa kwanza hajawahi kuniambia hata siku moja eti ooh mwanangu mbona bado ujaoa never na nahisi atoniambia kwa sababu hata yeye mwenyewe hajawai kuoa

Na kuna utofauti mkubwa sana nikimuona baba na ndugu zake yeye ana mafanikio makubwa kuliko ndugu yake yoyote na kwa point hiyo nikaona kuona ni kwa ajili ya wanaume dhaifu View attachment 3198595
Kama baba hajaoa kwa hiyo hapa tunapata vizazi vya zinaa
 
Japo mimi sijaoa na sitaoa ila kuoa na kumiliki mke na familia sio jambo dogo, ni watu wenye upeo wa juu wa kujua namna ya kuweka hali yoyote katika msawazo / balance , na mara nyingi wanafaa hata kuwa viongozi wanchi.
Ndoa sio kwa ajili ya malast born expert au watoto namba za mwisho mwisho kama wewe expert, mtu ni mtoto wa tisa huko utajua wapi umuhimu wa ndoa
 
nani kakwambia ukiona na unakuwa na sifa ya kuwa raisi someni hata vitabu muwe mnaelewa
mifano ipo shee hayati Mkapa aliachana na mke wake lakini alipokuwa anagombea uraisi alitakiwa arudiane na mke wake unajua kwanini?
 
Mkuu mimi nilishaoa kipindi cha nyuma tena nikiwa na miaka 19 kwa sasa acha nitulie kwanza niwape wanangu kila ninachoona ni bora kuwafaa.
Uliwahi sana ndio maana ukapigwa za uso,mafirst born wenyewe tumeoa kwenye 30's halafu wewe last born umejipendekeza kwenye 19's ulifikir mpira wa miguu ule
 
Uliwahi sana ndio maana ukapigwa za uso,mafirst born wenyewe tumeoa kwenye 30's halafu wewe last born umejipendekeza kwenye 19's ulifikir mpira wa miguu ule
Mimi ukiniambia kuwa aliwahi kuoa nataka labda uniambie. jamaa alikwa dhaifu wakati huo full stop
 
Back
Top Bottom