Kumbe kuoa ni kwa ajili ya wanaume wadhaifu tu!

Kumbe kuoa ni kwa ajili ya wanaume wadhaifu tu!

1736684437195.jpg
 
Mkuu mimi nilishaoa kipindi cha nyuma tena nikiwa na miaka 19 kwa sasa acha nitulie kwanza niwape wanangu kila ninachoona ni bora kuwafaa.
Aisee kama wajomba zangu wanavyo taka niingiza kwenye mtego.

Japo wao wali oa wakiwa age Kama yako, ila Mimi nope.
Na naendelea kukata miaka😂
 
Back
Top Bottom