Kumbe kuoa ni kwa ajili ya wanaume wadhaifu tu!

Kumbe kuoa ni kwa ajili ya wanaume wadhaifu tu!

Binafsi najivunia sana baba yangu, mzee wangu ni mwanaume halisi kabisa kwanza hajawahi kuniambia hata siku moja eti ooh mwanangu mbona bado ujaoa never na nahisi atoniambia kwa sababu hata yeye mwenyewe hajawai kuoa

Na kuna utofauti mkubwa sana nikimuona baba na ndugu zake yeye ana mafanikio makubwa kuliko ndugu yake yoyote na kwa point hiyo nikaona kuona ni kwa ajili ya wanaume dhaifu View attachment 3198595
Unamwiga babako siyo. Ana mafanikio sawa. Kayapataje?

Baba bwabwa na mwanawe unataka kuwa bwabwa. Baba na mwana wote bwabwa. Kuna siku mtamalizana wenyewe.

Kila la heri bwabwas.
 
Unamwiga babako siyo. Ana mafanikio sawa. Kayapataje?

Baba bwabwa na mwanawe unataka kuwa bwabwa. Baba na mwana wote bwabwa. Kuna siku mtamalizana wenyewe.

Kila la heri bwabwas.
Hàya matusi makubwa Hivyo kwa mleta mada ya nini? Kakukosea nini?
 
Mans weakness is to his family,ila mkuu kuwa na familia ni jambo jema zaidi,chukua mwanamke lipa mahali tulia usifunge naye ndoa ya serikali wala ya kidini..mana wakaipata cheti hujiona wamefika
Wewe ni pacha wangu kabisa hapa duniani yaani huwa tunawashauri watu hiki hiki kitu,, lakini sasa ujumbe wetu ulivyo na nuksi haufiki kwa walengwa
Maana kutwa watu wako makanisani na misikitini kisha baada ya muda wanaenda mahakamani kutengua viapo vyao..
 
Hàya matusi makubwa Hivyo kwa mleta mada ya nini? Kakukosea nini?
Mtu dhaifu kwenye kujenga hoja siku zote hujaza upumbavu wa matusi kichwani na huona ni ufahari sana kuyasema kwenye jamii
Hata pale pasipostahili kuonyesha upumbavu wake..
Japo hayatamdhuru mleta mada lakini huyu jamaa alietukana ni mfano wa watu wa kuepukwa sana kwenye jamii.
 
🫱🫲
 
Na hela zao lakini hawaja toboa
20250112_145907.jpg
 
Ninaposema kuowa ni ajili ya wanaume dhaifu muwe mnaelewa wakuu
 
Japo mimi sijaoa na sitaoa ila kuoa na kumiliki mke na familia sio jambo dogo, ni watu wenye upeo wa juu wa kujua namna ya kuweka hali yoyote katika msawazo / balance , na mara nyingi wanafaa hata kuwa viongozi wanchi.
Huwezi kuwa kiongozi wa nchi Kama huna mke. Kumiliki na kuiongoza familia ni kipaji ama ni uongozi tosha
 
Japo mimi sijaoa na sitaoa ila kuoa na kumiliki mke na familia sio jambo dogo, ni watu wenye upeo wa juu wa kujua namna ya kuweka hali yoyote katika msawazo / balance , na mara nyingi wanafaa hata kuwa viongozi wanchi.
Putin anaongoza Urusi miaka 25 na urusi ni nchi tajiri, hajaoa. Elon musk anaongoza makampuni makubwa 6 Duniani na hajaoa na wengine wengi tu. Ama kisa watu kama Yerico Nyerere wameoa ndio unataka watu kama wale wawe viongozi wa nchi kisa wameoa?
 
Back
Top Bottom