kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
- Thread starter
- #101
wanaume wadhaifu wapo wengi siku hizi tena wamelelewa na mamaMans weakness is to his family,ila mkuu kuwa na familia ni jambo jema zaidi,chukua mwanamke lipa mahali tulia usifunge naye ndoa ya serikali wala ya kidini..mana wakaipata cheti hujiona wamefika