Kumbe kuoa ni kwa ajili ya wanaume wadhaifu tu!

Kumbe kuoa ni kwa ajili ya wanaume wadhaifu tu!

Ukiwa huna akili usioe, imeandikwa ishini nao kwa akili.
Ndiyo ukweli wenyewe, yaani unamtizama mwanaume unajiuliza hivi naishi na mtu au dubwasha gani! Hana msimamo anapelekeshwa na ndugu unajiuliza wewe shule ulienda tafuta nini wakati hawa wadogo zako wakike wanakufanyia haya? Unatamani uchome vyeti vyake ili ijulikane naye ni mbulula!
 
Japo mimi sijaoa na sitaoa ila kuoa na kumiliki mke na familia sio jambo dogo, ni watu wenye upeo wa juu wa kujua namna ya kuweka hali yoyote katika msawazo / balance , na mara nyingi wanafaa hata kuwa viongozi wanchi.
Oa mkuu, kama hukupata mtu sahihi mwanzo, usidhani wanawake wote wapo hivo.
 
Binafsi najivunia sana baba yangu, mzee wangu ni mwanaume halisi kabisa kwanza hajawahi kuniambia hata siku moja eti ooh mwanangu mbona bado ujaoa never na nahisi atoniambia kwa sababu hata yeye mwenyewe hajawai kuoa

Na kuna utofauti mkubwa sana nikimuona baba na ndugu zake yeye ana mafanikio makubwa kuliko ndugu yake yoyote na kwa point hiyo nikaona kuona ni kwa ajili ya wanaume dhaifu View attachment 3198595
Kwa hiyo unainjoi kilicho mkuta mama yako.
Kubebeshwa mimba alafu mhuni akapita hivi...
 
Binafsi najivunia sana baba yangu, mzee wangu ni mwanaume halisi kabisa kwanza hajawahi kuniambia hata siku moja eti ooh mwanangu mbona bado ujaoa never na nahisi atoniambia kwa sababu hata yeye mwenyewe hajawai kuoa

Na kuna utofauti mkubwa sana nikimuona baba na ndugu zake yeye ana mafanikio makubwa kuliko ndugu yake yoyote na kwa point hiyo nikaona kuona ni kwa ajili ya wanaume dhaifu View attachment 3198595
Inawezekan unakaa kwa ding ako ndy maan mawazo yak ni mgando
 
Huyo mzungu apo ndio baba yako ambae hajaoa??
Kama ndie basi una baba wa hovyo, kwenye movie yake hiyo kalila punga.
 
ma
20241219_204625.jpg
 
Mans weakness is to his family,ila mkuu kuwa na familia ni jambo jema zaidi,chukua mwanamke lipa mahali tulia usifunge naye ndoa ya serikali wala ya kidini..mana wakaipata cheti hujiona wamefika
 
Back
Top Bottom