Kumbe kuoa ni kwa ajili ya wanaume wadhaifu tu!

Kumbe kuoa ni kwa ajili ya wanaume wadhaifu tu!

Mkuu kwa jinsi huwa nachukulia mambo sioni kama nimepigwa za uso ,ila kwa mwingine ingekua ni zaidi ya kupigwa๐Ÿ˜๐Ÿ˜
mkuu wewe huwa mambo unayachukulieje ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kumbe una miaka 27 ungekua na miaka 40+ hoja yako ingekua na mashiko Ila endelea Kula nyeto kwanza
sasa nyeto mimi za nini wakati ni nagonga madeni ambayo wewe ukiwao huwa unasema kuna watu wanakujoa pazuri ๐Ÿ˜‚
 
Ukifikisha miaka 45 ndio uje utoe ushuuda. Sasa ivi wewe bado mdogo sana kutuita sisi wadhaifu.
 
Japo mimi sijaoa na sitaoa ila kuoa na kumiliki mke na familia sio jambo dogo, ni watu wenye upeo wa juu wa kujua namna ya kuweka hali yoyote katika msawazo / balance , na mara nyingi wanafaa hata kuwa viongozi wanchi.
min -me umekua fair sana sana leo kwa huu mtizamo wako. Aisee, endelea kutokunywa bia..๐Ÿคฃ
 
Japo mimi sijaoa na sitaoa ila kuoa na kumiliki mke na familia sio jambo dogo, ni watu wenye upeo wa juu wa kujua namna ya kuweka hali yoyote katika msawazo / balance , na mara nyingi wanafaa hata kuwa viongozi wanchi.
Umeongea fact mkuu
 
Back
Top Bottom