Hakuna anayefichwa.nin sababu ya kutosoma hii mistar makanisani wanaficha nn kwa waumini wao
Waumini wengi ni wavivu wa kusoma. Huwezi kuwapangia mapadre na wachungaji mistari ya kufundishia.
Hakuna anayefichwa.nin sababu ya kutosoma hii mistar makanisani wanaficha nn kwa waumini wao
Ya kwako!Wewe unachukua tafsiri ipi?
Amen mtumishi.Ya kwako!
wew hawawez kufundisha hiyo mistari ili hali kilichokatazwa ndicho wanachokifanyaHakuna anayefichwa.
Waumini wengi ni wavivu wa kusoma. Huwezi kuwapangia mapadre na wachungaji mistari ya kufundishia.
Sawa mtumishiMimi wa kwangu huwa sioni tatizo! Labda tusubiri watumishi watuletee majibu ya uhakika!
Mbona yapo mengi wanafundisha watu wasifanye ila wao wanafanya?wew hawawez kufundisha hiyo mistari ili hali kilichokatazwa ndicho wanachokifanya
Karibu!Sawa mtumishi
Lakini kilichofata, akapigwa na kufa ,😅😅Mwanzo 38:9
Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.
hutakiwi kufanya hivyo ni dhambiAmen mtumishi.
Swali la kizushi, niki withdrawal kwa mke wangu nalo ni tatizo?
Nimekubali mtumishi.hutakiwi kufanya hivyo ni dhambi
na ndio maana Onani alipigwa hadi kufa
HIi ni muendelezo wa hiyo simulizi aliyoweka muanzisha uzi.Kitabu kipi kina hilo simulizi?
Si uhamie kwa walokole sasa ambapo unaonyesha kupapenda zaidi pamoja na taratibu zao.Kama ni mkatoliki kama mimi na mnasomewa misale na neno moja tu na padre na hamsomi biblia, huwezi jua haya mambo. Walokole ndio wanasoma biblia nzima na wanaijua kichwani.
Fika pahala jisomee mwenyewe.
Nyeto imepugwa kitambo sanaMwanzo 38:9
Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.
Wasabato ni Top MostKama ni mkatoliki kama mimi na mnasomewa misale na neno moja tu na padre na hamsomi biblia, huwezi jua haya mambo. Walokole ndio wanasoma biblia nzima na wanaijua kichwani.
Fika pahala jisomee mwenyewe.