Kumbe kwenye biblia kuna mtu alimwaga nje na hamsemi

Kama ni mkatoliki kama mimi na mnasomewa misale na neno moja tu na padre na hamsomi biblia, huwezi jua haya mambo. Walokole ndio wanasoma biblia nzima na wanaijua kichwani.
Fika pahala jisomee mwenyewe.
Si uhamie kwa walokole sasa ambapo unaonyesha kupapenda zaidi pamoja na taratibu zao.
 
Na kuna jamaa alikula Mke wa Baba ake.

Ama hakika hakuna jipya chini ya jua.
 
Mwanzo 38:9
Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.
Nyeto imepugwa kitambo sana
 
Kama ni mkatoliki kama mimi na mnasomewa misale na neno moja tu na padre na hamsomi biblia, huwezi jua haya mambo. Walokole ndio wanasoma biblia nzima na wanaijua kichwani.
Fika pahala jisomee mwenyewe.
Wasabato ni Top Most
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…