Kumbe Majini sio viumbe vya kuogopa, yana vibrate at low frequency kuliko sisi

Dr kama hutojari tunaomba utushushie uzi juu ya hizi frequency 🙏
 
If witchcraft and magic really existed people would have weaponized them long time ago.

We would have magic missiles, Enchanted bullets invisible rockets and arcane nukes.

Hakuna uchawi, Hakuna majini, Hakuna mapepo, Hakuna Shetani, Hakuna Mungu.
ila kuna nini?
 
🙏
 
Madini tupu.
 
Mkuu ivi hii kitu unakuta unamfikiria mtu labda hamjawasiliana muda mrefu, gafla unashangaa anakutafuta kwa kukutumia sms au kukupigia , sana sana kwa sms, hii.imenikuta mara nyingi, yani ni kma nahis mtu fulani atanitafuta na kweli inatokea.
 
Hiyo ni kweli.

Inaanza na kujitambua. Ukishatambua SISI, WEWE, MIMI ni nani, unajua tayari ulichokisema kwa kichwa cha uzi ni kweli tupu.

Anza sasa kujitambua na kujua wewe ni nani, hao viumbe watakuona kituo cha polisi. Lakini ukitetema katika kiwango cha chini, cha mwili wanakuvagaa.
 
Njia pekee ya kukuepusha na mitetemo ya chini ni upendo, upendo ndo ukamilifu wetu, unaotuwezesha kua ktk mitetemo ya juu zaidi.
 
Frequency ni nini?
 
Mkuu, wanga hawana maajabu, ikiwa utaishinda hiyo hofu inayokufanya uwe ktk mtetemo wa chini.
Naona mmekomaa tu kulishana upepo, kuna mtu ameshawahi kumuona mchawi au jini?

Au ndio abrakabra za mapopobawa?
 
Sote tumepita huko, bt tulipokubali kujifunza, tulianza kuyaona mambo ktk mitizamo tofauti.
Mlijifunza nini?

Ni wapi ulishawahi kumuona mchawi anapaa kwny ungo?

Wazungu nao zamani walikuwa wanaamini ushirikina kama wewe, lakini walikuja kuelimika na hadi leo huwezi kukuta mganga wa kienyeji Ulaya.

Niambie best, ni wapi umekutana na popobawa, au jini Maimuna?
 
Ushirikina upo dunia nzima, ni vile hauna madhara kwa wenye maarifa, na wazungu wametutangulia ktk kujitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…