Manyahe
JF-Expert Member
- Mar 17, 2023
- 487
- 883
Yaan sio 18 tu ukikaa kizembe ni hata 100 zao unaingiaWatu wana furaha na wanaingia kwenye 18 za wanga...
Mtoto hata hajazaliwa na bado anachezea kimbola kama kawaida...
Famasihara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan sio 18 tu ukikaa kizembe ni hata 100 zao unaingiaWatu wana furaha na wanaingia kwenye 18 za wanga...
Mtoto hata hajazaliwa na bado anachezea kimbola kama kawaida...
Dr kama hutojari tunaomba utushushie uzi juu ya hizi frequency 🙏Hii nimeshaizungumzia Sana Mpaka humu Huwa wananiita conspiracist..
Kuhusu Energy possitive,Negative ,lowest na Highet nilishapiga Kelele sana..
kwa Kuongeza Jinsi Unavyoweza Kucontrol Frequency ndo Jinsi Unavyoweza Kuwa Na Hali ya Utambuzi wa Juu kuliko wengine..
councious Level Inahusisha Utambuzi wa Frequencies na Energy unajua Wakati gani U resonate na Energy ipi na Mahali gani....
Hii chart Hapa Chini Inaelezea Level Nyingu sana na Elimu nyingi kwenye Chart moja
View attachment 3164641
Quran ishushe duniani kutokea wapi😁😁😁 ebu tuweni serious wakati mwingineWakati Qur-an ya shushwa duniani wewe ulikuwepo
ila kuna nini?If witchcraft and magic really existed people would have weaponized them long time ago.
We would have magic missiles, Enchanted bullets invisible rockets and arcane nukes.
Hakuna uchawi, Hakuna majini, Hakuna mapepo, Hakuna Shetani, Hakuna Mungu.
Kwani Mwamedi kazaliwa mwaka gani na kwa kalenda dunia ina miaka mingapi tangu kalenda ianze kutumika?Wakati Qur-an ya shushwa duniani wewe ulikuwepo
Vichaa wapo wengi sana, hakuna kitabu kimeshushwa, vitabu vyote vimeandikwa na binadamu duniani.Quran ishushe duniani kutokea wapi😁😁😁 ebu tuweni serious wakati mwingine
🙏Katika muktadha wa kiroho, masafa ya chini (low frequency) na masafa ya juu (high frequency) mara nyingi yanahusishwa na hali tofauti za kiroho, nishati, au mtetemo wa mwili na nafsi. Hii inatokana na imani kwamba kila kitu ulimwenguni kina nishati na hutetemeka katika masafa fulani.
Masafa ya Chini (Low Frequency) Kiroho
Sifa: Masafa ya chini mara nyingi yanahusishwa na hisia au hali hasi kama vile:
Woga
Hasira
Chuki
Uchovu wa kiroho
Athari:
Hutengeneza uzito wa kiroho au kutojihisi huru.
Inaweza kuzuia ukuaji wa kiroho au kuleta hali ya kutengwa na chanzo cha nishati chanya (Mungu, ulimwengu, au nafsi yako ya juu).
Mfano:
Mtu anayepitia huzuni kali au anaelemea hali za hofu mara kwa mara mara nyingi huonekana "kuvutia" matukio ya kiroho hasi.
Masafa ya Juu (High Frequency) Kiroho
Sifa: Masafa ya juu yanahusishwa na hali chanya kama:
Upendo
Furaha
Amani
Shukrani
Athari:
Husaidia mtu kuunganishwa na nishati za juu za kiroho (Mungu, malaika, au ulimwengu wa kiroho).
Huongeza ufahamu wa kiroho, uvuvio, na hali ya amani ya ndani.
Mfano:
Sala, tafakari, au matendo ya huruma huongeza masafa ya mtu kiroho, na hivyo kumwezesha kujihisi karibu na nishati ya kimungu.
Mambo Yanayoshawishi Masafa Kiroho
Kuongeza Masafa (Kuhamia High Frequency):
Meditate (kutafakari).
Kufanya sala au maombi.
Kuonyesha shukrani na huruma.
Kuishi maisha ya maadili na kupunguza mzigo wa hasira au chuki.
Kupunguza Masafa (Kuhamia Low Frequency):
Kuzingatia mambo hasi kama wivu, chuki, au tamaa mbaya.
Kutojitunza kimwili na kiakili.
Kuwa mbali na mazoea ya kiroho au chanzo cha imani yako.
Kwa Nini Masafa ni Muhimu Kiroho?
Masafa yanaaminika kuvuta nishati zinazofanana. Masafa ya juu huvuta nishati na hali za juu kama amani na upendo, ilhali masafa ya chini huvuta hali hasi.
Watu wanaoishi katika masafa ya juu wanajulikana kuwa na nuru ya kiroho, kuvutia furaha, na kupitisha nishati nzuri kwa wengine.
Ikiwa unatafuta njia za kuinua masafa yako ya kiroho, tafakari zaidi au fanya mazoea yanayokuletea furaha na amani.
By robot
Madini tupu.Sina uhakika saana kama majini yana vibrate katika low frequency kuliko binadamu.
Ila uko sahihi kua binadamu tuna uwezo mkubwa/kama Mungu like father like son.
Ukijua kwanini amri kuu ni upendo pia ukibaini kwanini uliambiwa usamee saba mara sabini, ni ili kua positive na kuvunja negative energy zote. Hakika utakua salama.
Kumbe ukiwa na hekima utakundua kitabu cha biblia ni moja ya vitabu adimu, ni hazina (kwani kina code muhimu kama ukizijua unakua hauna haja ya kuhangaika kusoma maelfu ya vitabu).
Mfano ukisoma vitabu vya injili. Unakua ume-master masuala yote ya spiritual awakening, consciousnesss enlightenment, higher dimension, manifestation etc. Terminology kibao ila kitu ni kile kile.
Kua positive ni sawa sawa na kua mtakatifu (kuto kutendaa dhambi).
Mja ya watu waliokua katika viwango vya juu vya kiroho ni YESU alikua na mind yenye positivity ya hali ya juu
It is true - ndo maana ni rahisi Sana kupoteza vitu vingi na kupata mikosi endapo ukaruhusu hasira ,huzuni ,chuki, wivu .
Frequency unazotuma katika ulimwengu zikiwa juu ndo pale unamsikia MTU anasema nimemfikiria mama akanipigia au nimemfikiria kaka akanioigia simu.
But a lot of people hawaelewi ndo maana unawakuta hawapati matokeo chanya in everything they do .
Hiyo ni kweli.Knowledge is power..kumbe MAJINI, WACHAWI, NA BLACK MAGIC ZOTE, zinafanyika at low vibrational frequency ndio maana ili mtu alogeke lazima washushe frequency yake awe kwenye range zao.
Kwa mfano mtu akiwa ana hofu au hasira ni rahis kumloga coz ana resonate at 7Hz very low frequency.
PEPO MCHAFU anamuingia mtu akiwa at low frequency. Siri iliyopo hapa ni kucheza frequency game isishuke, msibani watu wanalogwa sana coz wana huzuni na frequency zao zinakuwa down, bila shaka umewahi kusikia msiba mmoja umesababisha msiba mwingine then wanasingizia presha..
Njia pekee ya kukuepusha na mitetemo ya chini ni upendo, upendo ndo ukamilifu wetu, unaotuwezesha kua ktk mitetemo ya juu zaidi.Hiyo ni kweli.
Inaanza na kujitambua. Ukishatambua SISI, WEWE, MIMI ni nani, unajua tayari ulichokisema kwa kichwa cha uzi ni kweli tupu.
Anza sasa kujitambua na kujua wewe ni nani, hao viumbe watakuona kituo cha polisi. Lakini ukitetema katika kiwango cha chini, cha mwili wanakuvagaa.
Mkuu, wanga hawana maajabu, ikiwa utaishinda hiyo hofu inayokufanya uwe ktk mtetemo wa chini.Yaan sio 18 tu ukikaa kizembe ni hata 100 zao unaingia
Famasihara
Frequency ni nini?Knowledge is power..kumbe MAJINI, WACHAWI, NA BLACK MAGIC ZOTE, zinafanyika at low vibrational frequency ndio maana ili mtu alogeke lazima washushe frequency yake awe kwenye range zao.
Kwa mfano mtu akiwa ana hofu au hasira ni rahis kumloga coz ana resonate at 7Hz very low frequency.
PEPO MCHAFU anamuingia mtu akiwa at low frequency. Siri iliyopo hapa ni kucheza frequency game isishuke, msibani watu wanalogwa sana coz wana huzuni na frequency zao zinakuwa down, bila shaka umewahi kusikia msiba mmoja umesababisha msiba mwingine then wanasingizia presha..
Hatari sanaKule Handeni kuna Wachawi akiangalia mboga tu inachacha hapohapo
Najua sana, ila huwa nakua makini kuzungumza ovyo ovyo kwani si kila mtu anaweza kuelewa hasa hizi zama ambazo kila mtu anajifanya mjuaji. Kumbuka usemi wa Mastermind mkuu Yesu Kristo kuwa,"Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua".
Naona mmekomaa tu kulishana upepo, kuna mtu ameshawahi kumuona mchawi au jini?Mkuu, wanga hawana maajabu, ikiwa utaishinda hiyo hofu inayokufanya uwe ktk mtetemo wa chini.
Sote tumepita huko, bt tulipokubali kujifunza, tulianza kuyaona mambo ktk mitizamo tofauti.Naona mmekomaa tu kulishana upepo, kuna mtu ameshawahi kumuona mchawi au jini?
Au ndio abrakabra za mapopobawa?
Mlijifunza nini?Sote tumepita huko, bt tulipokubali kujifunza, tulianza kuyaona mambo ktk mitizamo tofauti.
Ushirikina upo dunia nzima, ni vile hauna madhara kwa wenye maarifa, na wazungu wametutangulia ktk kujitambua.Mlijifunza nini?
Ni wapi ulishawahi kumuona mchawi anapaa kwny ungo?
Wazungu nao zamani walikuwa wanaamini ushirikina kama wewe, lakini walikuja kuelimika na hadi leo huwezi kukuta mganga wa kienyeji Ulaya.
Niambie best, ni wapi umekutana na popobawa, au jini Maimuna?
Kwako malaika ni nani?Kwanini Unadai Sijui maana Yake