evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
Nimuonee wivu kwa lipi sana sana namshangaa mkristu mwezangu huyu hii si sawaUnawaomea wivu au kipi kinachokushangaza mzee ?
Ubaya upo kwani alimtenga mmoja hakuwahi kumtambulisha wakati ndiye mke halali kwa sisi wakristu yeye alikuwa anazunguka na kimada tu Dr fatma.mganga hadi akajifanya ndio mke wakati kumbe sio mke halaliKwani kuna ubaya gani yeye kuwa na wake wawili?
Kuna kifungu kwenye bible kinachosema ukiwa na mke zaidi ya mmoja ni dhambi?Ubaya upo kwani alimtenga mmoja hakuwahi kumtambulisha wakati ndiye mke halali kwa sisi wakristu yeye alikuwa anazunguka na kimada tu Dr fatma.mganga hadi akajifanya ndio mke wakati kumbe sio mke halali
Kwa mujibu wa taratibu za kikristo ni makosaKwani kuna ubaya gani yeye kuwa na wake wawili?
Kwa taratibu za sisi watu weusi sio makosa ndio ujie sasaKwa mujibu wa taratibu za kikristo ni makosa
Kwa taratibu za kikanisa mke ni mmoja tu mke wake wa kanisnai ni huyo stela,huyu dr mganga walikuwa wanaziniKuna kifungu kwenye bible kinachosema ukiwa na mke zaidi ya mmoja ni dhambi?
Ni ajabu kwa kweli tunachukulia poa tu ila haya mambo yanaleta mitafaruku kwenye mambo ya Marathi mmoja wapo akifariki.Kwa sisi Waafrika si jambo la ajabu. Cha msingi familia inajua mke rasmi nani, wengine mtulie
Alikuambia ni mkristo?Nimuonee wivu kwa lipi sana sana namshangaa mkristu mwezangu huyu hii si sawa
Ulitaka uolewe wewe ?Nimuonee wivu kwa lipi sana sana namshangaa mkristu mwezangu huyu hii si sawa
Unamuonea wivu kidume kuwa na wanawake wengi, unafikirisha sanaNi ajabu kwa kweli tunachukulia poa tu ila haya mambo yanaleta mitafaruku kwenye mambo ya Marathi mmoja wapo akifariki.
Nina ushuhuda wa mzee mmoja alipovuta aliibuka mwanamke ambaye kumbe alikuwa na ndoa ya kanisa na marehemu,
Kwenye mstakabali wa kisheria hususani sheria za Marathi hili suala linawezaletq utata.
Wewe mwanaume mkristo unafunga ndoa ya kikristo na mwanamke halafu unamtekeleza kienyeji bila talaka, unatafuta.mwanamke.mwingine let say muislamu mnachukuana mnaishi mnajenga maisha mnakuwa na mali mwanume huyo alifa yule mwanamke mkristo aliyeachwa kienyeji anakuja kuibuka hapo anaweza leta.utata mkubwa sana .
Tatizo watu wanachukulia sifa kuwa na wanawake wengi (mitala) hili suala kisheria halina shida sana kwa waislamu. Ukishafunga ndoa ya kanisani ni suala moja nyeti sana ukizamiria kumuacha huyo mwanamke jitahidi umpe talaka rasmi mahakamani la sivyo anaweza kuja kuibuka wakati umekufa akaleta.mtafaruku
Ubinafsi ndio unaleta mtafaruku.Ni ajabu kwa kweli tunachukulia poa tu ila haya mambo yanaleta mitafaruku kwenye mambo ya Marathi mmoja wapo akifariki.
Nina ushuhuda wa mzee mmoja alipovuta aliibuka mwanamke ambaye kumbe alikuwa na ndoa ya kanisa na marehemu,
Kwenye mstakabali wa kisheria hususani sheria za Marathi hili suala linawezaletq utata.
Wewe mwanaume mkristo unafunga ndoa ya kikristo na mwanamke halafu unamtekeleza kienyeji bila talaka, unatafuta.mwanamke.mwingine let say muislamu mnachukuana mnaishi mnajenga maisha mnakuwa na mali mwanume huyo alifa yule mwanamke mkristo aliyeachwa kienyeji anakuja kuibuka hapo anaweza leta.utata mkubwa sana .
Tatizo watu wanachukulia sifa kuwa na wanawake wengi (mitala) hili suala kisheria halina shida sana kwa waislamu. Ukishafunga ndoa ya kanisani ni suala moja nyeti sana ukizamiria kumuacha huyo mwanamke jitahidi umpe talaka rasmi mahakamani la sivyo anaweza kuja kuibuka wakati umekufa akaleta.mtafaruku
Huyo Mungu baki nae wewe.Kwa taratibu za kikanisa mke ni mmoja tu mke wake wa kanisnai ni huyo stela,huyu dr mganga walikuwa wanazini
Kutoka 20:14: "Usizini." Ukifanya hivyo, unavunja ahadi uliyotoa mbele ya Mungu kuwa mwaminifu kwa mwenzi wako wa ndoa.
Kwa mujibu wa taratibu za kikristo ni makosa