Kumbe Menejimenti Team yote ya BAWACHA wamepata Ubunge wa Viti Maalumu

CCM wamewalaghai hawa kina mama !! hii ni dhambi kubwa sana na ni lazima ikemewe kwa kila mpenda demokrasia ya kweli nchini.
 
Sasa kikao kisingefanyika majina yale yangefikaje NEC?

Uteuzi wa wabunge ni mchakato wa kisheria na NEC na Spika wa bunge siyo wajinga kama Ufipa mnavyowafikiria!
Uwezekano wa majina kufika NEC bila kikao cha kamati kuu kufanyika hauwezi kuwepo?Seriously?Wenye mamlaka kama vile serekali wakawa na interest na viti maalum vya wapinzani bungeni lakini kutokana na sababu moja au nyingine kama vile wapinzani kufanyiwa dhuluma katika uchaguzi wakakataa kupeleka majina ya viti maalum NEC,wenye mamlaka watashindwa kushirikiana na hao viti maalum kukiuka sheria na hatimae kupeleka majina hayo NEC?Hili haliwezekani?
 
Mlitaka mpelekewe watu wasiojitambua?
 
Chadema wanaweza kwenda mahakamani!
 
Lisu alipoenda kumpitisha Seif kuwa mgombea wao wa urais Zanzibar kikao kipi na cha tarehe ngapi kilipitisha hilo.?
 
Maendeleo hayana chama tupige kazi
Wapinzani wanakwamisha maendeleo.
Mkichagua upinzani siwaletei maji.
Bunda wamenichanganyia magunzi na betri,nikawaacha bila maendeleo.
Kwa kauli hizi kama bado unaamini maendeleo hayana chama,utakuwa na tatizo la afya ya akili,mwili na roho.
 
Wapinzani wanakwamisha maendeleo.
Mkichagua upinzani siwaletei maji.
Bunda wamenichanganyia magunzi na betri,nikawaacha bila maendeleo.
Kwa kauli hizi kama bado unaamini maendeleo hayana chama,utakuwa na tatizo la afya ya akili,mwili na roho.
Upinzani huu wa chama kama Chadema?
 
Chadema wanaweza kwenda mahakamani!
Yaani kesi ya Tumbili upeleke kwa Ngedere?Kuna kupata haki hapo?Yaani serekali itende kosa kisha uipeleke katika mahakama ambazo tayari serekali hiyo hiyo ilishaziweka mfukoni, tena mfuko wa shati?Unaelewa ni kwa nini serekali imejitoa juzi katika mahakama ya haki za binadamu ya Afrika?

Imejitoa katika mahakama hii kwa sababu ndiyo mahakama pekee iliyokuwa imebakia ambayo ilikuwa huru,ambayo ilikuwa haijawekwa mfukoni mwa shati na ambayo ndiyo pekee ilikuwa inaweza kutenda haki.
 
Upo sahih mtu yoyote anaweza ongea chochote anachojisikia na ndio maana hata katibu nae kaongea yake lkn wale wale wamama hawajaenda pale kwa kukurupuka inaonekaana ndan ya ufipa Kuna tatizo ukizingatia wale wamama ni wajumbe wa hiyo kamat inayopaswa kupitisha majina nadhan hatupasw kumuhukumu yoyote tusubir hicho kikao ili tuujue uhalisia
 
Hakika mkuu!
 
Hao wabunge haijachagua CHADEMA, hao ni wabunge wa Ndugai
Chadema zero brain, Ndugai anawachagulia wabunge? Halafu mnawapeleka? Tena ni viongozi wa juu wa chadema wanachaguliwa na CCM?
CCM ni ma genius, chadema nyumbu hovyo kabisa hawawezi kukataa chochote toka CCM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…