Kumbe Mke wangu ana mume wake wa kazini!

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio yangu anamsalimia jamaa flani hivi tena kwa mbwembwe "Mambo hubby " alivyoniona akashtuka coz hakutegemea kuniona pale.alipokuja home nikamuuliza hiyo issue akajibu tu simple kuwa ni utani wa kazini.
Wakuu nichukue hatua gani hapa?
 
Ukioa mfanyakazi tegemea hayo! Mkuu huku maofsini yanafanyika mambo mengi! Utani mwisho wa siku ni uhalisia! Kuwa mpole maisha yaendelee! Unakumbuka shuka kulishakucha! Mimi namfurahia mke wangu wa nyumbani nikifika home ni full kubembelezwa! Kuoa wanawake wa nyumbani raha sanaaa
 
Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio yangu anamsalimia jamaa flani hivi tena kwa mbwembwe "Mambo hubby " alivyoniona akashtuka coz hakutegemea kuniona pale.alipokuja home nikamuuliza hiyo issue akajibu tu simple kuwa ni utani wa kazini.
Wakuu nichukue hatua gani h

Fuatilia simu yake
 
Msamehe.
Na umpe pesa akamnunulie zawadi Mume mwenzio.
 
Ishi nae kwa akili kama kiumbe dhaifu Ukiwa mtu wa ku panic kwa kila afanyacho mkeo utarudisha namba mapema sana kabla ligi hazijakwisha. Be smart, be watchful hawa kina Baltazar egonga wapo chungu nzima.
 
Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio yangu anamsalimia jamaa flani hivi tena kwa mbwembwe "Mambo hubby " alivyoniona akashtuka coz hakutegemea kuniona pale.alipokuja home nikamuuliza hiyo issue akajibu tu simple kuwa ni utani wa kazini.
Wakuu nichukue hatua gani hapa?
hakuna sababu ya maana hata moja ya kuchukua hatua gentleman, ispokua tu ikiwa umechoka kuishi na mkeo.

hata hivyo,
unaweza kumpatia likizo akawasabahi kwao ikiwa ofisini kwake watamruhusu pia 🐒
 
Back
Top Bottom