Kumbe Mke wangu ana mume wake wa kazini!

Kuna story ya leadermoe...Anaeleza kabisa mke wa kakake alikuwa anamwita mke na bro wake anafahamu na wanaheshimiana ,my point ni kuwa usitoe hukumu kwa mazingira na experience ya maisha yako
Sina experience yoyote ila ni msimamo niliojiwekea na sijalazimisha mwingine afate.... lakini hao wa kazini kuitana hubby na wifey ni kichefu chefu
 
Mkuu unafanya kazi au ufanyi kazi?
Kama unafanya kazi hakuna mfanyakazi wa kike mnataniana?
Umejaribu kuchunguz hiyo ni utani au serious?
Ila wake za watu huko makazini ni warahisi sana
ila na wewe ni dhaifu sana, hujui hatua za kuchukua mpaka usaidiwe
 
Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio yangu anamsalimia jamaa flani hivi tena kwa mbwembwe "Mambo hubby " alivyoniona akashtuka coz hakutegemea kuniona pale.alipokuja home nikamuuliza hiyo issue akajibu tu simple kuwa ni utani wa kazini.
Wakuu nichukue hatua gani hapa?
Kuna safari walisafiri ya kikazi walienda wao wawili tu....Jikazee baba.
 
Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio yangu anamsalimia jamaa flani hivi tena kwa mbwembwe "Mambo hubby " alivyoniona akashtuka coz hakutegemea kuniona pale.alipokuja home nikamuuliza hiyo issue akajibu tu simple kuwa ni utani wa kazini.
Wakuu nichukue hatua gani hapa?
Temeshawaambia mke wako akiwa kazini lazma awe na ndoa nyingi pia, utakataaje na ushahidi unauona? Wanakusaidia kama mnavyosaidiana maisha pia, eleweni hivyo hukubali subiri subiri utaona zaid.
 
Nyie watu mnaojitungia stori zenu na kuja kuziandika humu JF kuhusu ndoa mnasababisha watu kuamini ndo ziko hivyo.
Alafu mnajionesha kama ma bwege flani hivi ambao msiokuwa na msimamo.

Mwingine anakiri kabisa eti mke wake kamfuma amatembea na kijaa wa mtaa tena nyumbani kwake alafu bado amawaza chakumfanya mkewe anaomba ushauri.

Acheni kujifananisha na Wamaume halisi(Alo owa) na Akili za kiume. Huwezi ukaowa ukaja na vi hoja kama hivi JF.
Umenena vyema. Mwanaume makini unapokuja hapa either unaomba ushauri kuhusu namna ya kuponyesha mali zako ili usigawane na mkeo na ushauri uwalenge wanasheria tu ama uje jf kutupa habari kuwa umemtimua wife wako simple
 
Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio yangu anamsalimia jamaa flani hivi tena kwa mbwembwe "Mambo hubby " alivyoniona akashtuka coz hakutegemea kuniona pale.alipokuja home nikamuuliza hiyo issue akajibu tu simple kuwa ni utani wa kazini.
Wakuu nichukue hatua gani hapa?
Wanawake wa kiafrika huwa tukiwaoa tunawaambia kuwa wachague ndoa au kazi, yaani anakuwa mama wa nyumbani na kazi yake ni kufuga kuku
 
Hakuna watu Malaya kwa sasa kama wake za watu wanagongwa sana na shida nayoiona kubwa hao waume zao hawarizishi kitandani na mifano ipo naiona kila siku
 
Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio yangu anamsalimia jamaa flani hivi tena kwa mbwembwe "Mambo hubby " alivyoniona akashtuka coz hakutegemea kuniona pale.alipokuja home nikamuuliza hiyo issue akajibu tu simple kuwa ni utani wa kazini.
Wakuu nichukue hatua gani hapa?
Kuna mwana ana demu wake ofcn, juzi kati walienda South Afrika training pamoja namwonea huruma mumewe huyo mwanamke maana jamaa anammiliki full yaani!!
 
Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio yangu anamsalimia jamaa flani hivi tena kwa mbwembwe "Mambo huutbby " alivyoniona akashtuka coz hakutegemea kuniona pale.alipokuja home nikamuuliza hiyo issue akajibu tu simple kuwa ni utani wa kazini.
Wakuu nichukue hatua gani hapa?
Ni ujinga
 
Pole sana, kabla ya yote relax jitahidi umpate mfanyakazi mwenzake wa hiyo ofisi jenga urafiki naye anza kumdodosa then fuatilia mienendo ya mke wako kwa kuhusianisha na taarfa unazopata kisha amua.
 
Back
Top Bottom