Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
I'm sorry but Mwanamke au Mwanaume aliye kwenye ndoa hawezi kufanya utani wa kuitana mume/mke na mtu asiye mwenza wake,
Mimi hata waume wa dada zangu marufuku kuniita 'mke', mimi nawaita 'kaka' na wamezoea hivyo, wake wa kaka zangu marufuku kuniita 'mume' mimi huwaita dada na wote wamezoea, heshima inatawala.