Kumbe Mke wangu ana mume wake wa kazini!

Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio yangu anamsalimia jamaa flani hivi tena kwa mbwembwe "Mambo hubby " alivyoniona akashtuka coz hakutegemea kuniona pale.alipokuja home nikamuuliza hiyo issue akajibu tu simple kuwa ni utani wa kazini.
Wakuu nichukue hatua gani hapa?
Hubby mwenyewe ni Baltazar
 
Ila watu mlioko kwenye ndoa mnachekesha. Yaani kumuita tu hubby tayari ushapanic. Je, ungewakuta faragha si ungezimia?
 
Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio yangu anamsalimia jamaa flani hivi tena kwa mbwembwe "Mambo hubby " alivyoniona akashtuka coz hakutegemea kuniona pale.alipokuja home nikamuuliza hiyo issue akajibu tu simple kuwa ni utani wa kazini.
Wakuu nichukue hatua gani hapa?
Lazima hapo kuna mahusiano ya kimapenzi ya moja kwa moja ama ya kimzunguko na huyo mtu.

Huyo aliyeitwa 'hubby' anaweza kuwa ni mhusika ama rafiki wa mhusika kwa maana ya 'shemeji'.

Akili inayotumika kutenda usaliti hufanana na ile ya kushusha pazia ili mambo yanayofanyika ndani yasionekane.

Lakini mara nyingi pazia halisaidii mambo hayo kutoonekana ama kujulikana, ndani yakikolea husikika kwa sauti, ndiyo maana ya usemi 'penzi ni kikohozi'.

Mara nyingi pia, watu wameoneshwa usaliti wa wenza wao kwa njia za miujiza kama hiyo!

Hapa cha kufanya, midhali umefumbuliwa fumbo lililojificha, anza kuunganisha dot ili kupata ukweli wa tabia ovu za mkeo zilizofichika ili uchukue maamuzi mwenyewe bila kuuliza ama kushirikisha mawazo ya mtu kama ulivyofanya sasa.

Hakuna formula ya mapenzi ama ya maamuzi ya kufuata katika ndoa, kila mtu kivyake vyake.

Kuuliza ufanyeje ni sawa na mbwa kupigiwa miluzi mingi kwa wakati mmoja, mwisho ni kupoteza uelekeo.
 
Kwa kuheshimu kanuni ya utashi hata kumwita msichana/mwanamke mpenzi wako ni ubinafs na utovu wa nidham.
Tufike mahala itumike nadharia ya wako akiwa kwako ....
La sivyo hii tabia ya kujimilikisha kiumbe wa Mungu itazidi kusababisha vichaa wengi zaid tokana na misongo!
..Ana heri mtu yule, ke au me aendeshaye mapenzi akiwa si main character!
Sasa tukubaliane sheria na nadharia za umalaya na biashara ya umalaya zijadarike upya kukidhi mahitaji ya sasa.
Watu wawe na access ya kuchagua na kulipia kwa urahisi!
Lakin.....
Chanzo cha haya yote ni wanawake wameamua kujikomboa utumwan wanatunisha misuli na wanaume weng wakahamia jinsia ya kike.
...Fainali uzeen!
 
Nawaza tu lakini,kwamba ukatengeneza mazingira ya yeye kuamini kwamba hayuko peke yake hamtabalance kweli hapo?Mbuzi hana mke au mume wa kudumu,tukiyaiga maisha ya hivyo tvapata stress kweli?
 
Ukioa mfanyakazi tegemea hayo! Mkuu huku maofsini yanafanyika mambo mengi! Utani mwisho wa siku ni uhalisia! Kuwa mpole maisha yaendelee! Unakumbuka shuka kulishakucha! Mimi namfurahia mke wangu wa nyumbani nikifika home ni full kubembelezwa! Kuoa wanawake wa nyumbani raha sanaaa
Huwa tunawatomber mkienda kazini.
 
Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio yangu anamsalimia jamaa flani hivi tena kwa mbwembwe "Mambo hubby " alivyoniona akashtuka coz hakutegemea kuniona pale.alipokuja home nikamuuliza hiyo issue akajibu tu simple kuwa ni utani wa kazini.
Wakuu nichukue hatua gani hapa?
Fwatilia simu yake kimtindo,Muache awe free ila Jua nyenzo zake
 
Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio yangu anamsalimia jamaa flani hivi tena kwa mbwembwe "Mambo hubby " alivyoniona akashtuka coz hakutegemea kuniona pale.alipokuja home nikamuuliza hiyo issue akajibu tu simple kuwa ni utani wa kazini.
Wakuu nichukue hatua gani hapa?
Utani gani huo wakati mpaka Jumamosi walikuwa pamoja Msalato wanakula nyama choma?
 
hakuna sababu ya maana hata moja ya kuchukua hatua gentleman, ispokua tu ikiwa umechoka kuishi na mkeo.

hata hivyo,
unaweza kumpatia likizo akawasabahi kwao ikiwa ofisini kwake watamruhusu pia 🐒
Kumbuka huko kwao ndo kuna yule kijana homeboy aliyemtoaga bikra kipindi wanasoma
 
Ukioa mfanyakazi tegemea hayo! Mkuu huku maofsini yanafanyika mambo mengi! Utani mwisho wa siku ni uhalisia! Kuwa mpole maisha yaendelee! Unakumbuka shuka kulishakucha! Mimi namfurahia mke wangu wa nyumbani nikifika home ni full kubembelezwa! Kuoa wanawake wa nyumbani raha sanaaa
Na wewe m wifey mdada wa kazi akiuliza sema ni utani.
 
Maofisini huwa watu wanna masihara Sana..kuzishika papuchi za wadada na wao kushika mikuyenge ya wanaume n Jambo la kawaida ...wakishazoeana hvyo kupiga mbupu huwa ngumu...ila take care br...chuma inaweza Lia mda wowote hawana guarantee hao
 
Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio yangu anamsalimia jamaa flani hivi tena kwa mbwembwe "Mambo hubby " alivyoniona akashtuka coz hakutegemea kuniona pale.alipokuja home nikamuuliza hiyo issue akajibu tu simple kuwa ni utani wa kazini.
Wakuu nichukue hatua gani hapa?
Tulia hivohivo ukijitikisa nakumwaga ubongo
 
Back
Top Bottom