Baba Mkubwa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 814
- 108
Then usioe…?Kumtimua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Then usioe…?Kumtimua
Kama hautaki kushea utaacha wengi.Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio yangu anamsalimia jamaa flani hivi tena kwa mbwembwe "Mambo hubby " alivyoniona akashtuka coz hakutegemea kuniona pale.alipokuja home nikamuuliza hiyo issue akajibu tu simple kuwa ni utani wa kazini.
Wakuu nichukue hatua gani hapa?
Tunaikataa ndoa na mauzauza yake yote.Namna pekee ya kuishi na mkeo muda mrefu bila kuibongonyola afya yako ya akili ni kuangazia umuhimu wake nje ya ngono.
(Mf uzao, utunzaji nyumba na lishe, msaada ukiumwa hasa maungoni, mahusiano/nadharia za kijamii, mshirika wa kuamini)
Kiukweli, mke hajawai kuwa na mbadala.(ni bahat mbaya lakin hakuna namna).
Njia zote mbadala ni self destruction
Katika hali ya utimamu hatuwezi kujadiri kuoa au kutokuoa bali
......Namna ya kumpata/kumtengeneza RAFIKI wa kuoana nae.
......umuhim wa Wajibu kabla ya haki kwa sabab ndoa hushikiriwa na upendo na si sheria.
....Marriage is the manifestion of love, inherently maintaining the rule of reprosity' ....
Madhira yote kwenye ndoa uzaliwa na UBINAFSI!
....GIGO[Gabbage In, Gabbage Out], tuzijaze bongo zetu uchanya ili tusihathiri afya zetu za akili.
Wivu mwingi ni kipimo cha gharama nafuu kujua huwajibiki ipasavyo kuangazia mambo ya msingi kwa jinsia yako!
...Wanaokataa ndoa ni adui dhidi yao wenyewe. (poor self denial), ni watoro wa kuwajibika dhidi yao na jamii yao.
WIIVUUUU, WIIVUU MAMA...
HATIMAYE MKURYA WA KIAGATA KAFIKIWA!Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio yangu anamsalimia jamaa flani hivi tena kwa mbwembwe "Mambo hubby " alivyoniona akashtuka coz hakutegemea kuniona pale.alipokuja home nikamuuliza hiyo issue akajibu tu simple kuwa ni utani wa kazini.
Wakuu nichukue hatua gani hapa?
Siyo tu wengi,mimi niko tayari kuacha wote.Kama hautaki kushea utaacha wengi.
Hakuna utani wa mwanaume na mwanamke, Ni hubby wake kweliNi utani wa maofisini, mtakuja kufa bure
Ukiliangalia kwa mapana,hakuna manufaiko yoyoteTunaikataa ndoa na mauzauza yake yote.
Hivi ni jambo gani hasa analoweza kunufaika nalo mwanandoa ambalo asiye mwanandoa hawezi kulipata?
Fikiria tena alafu urudi.Tunaikataa ndoa na mauzauza yake yote.
Hivi ni jambo gani hasa analoweza kunufaika nalo mwanandoa ambalo asiye mwanandoa hawezi kulipata?
MnyongeJuzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio yangu anamsalimia jamaa flani hivi tena kwa mbwembwe "Mambo hubby " alivyoniona akashtuka coz hakutegemea kuniona pale.alipokuja home nikamuuliza hiyo issue akajibu tu simple kuwa ni utani wa kazini.
Wakuu nichukue hatua gani hapa?
Imeisha hiyoJuzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio yangu anamsalimia jamaa flani hivi tena kwa mbwembwe "Mambo hubby " alivyoniona akashtuka coz hakutegemea kuniona pale.alipokuja home nikamuuliza hiyo issue akajibu tu simple kuwa ni utani wa kazini.
Wakuu nichukue hatua gani hapa?
Ukifa ataendeshaje familia na umeamua awe wa nyumbaniUkioa mfanyakazi tegemea hayo! Mkuu huku maofsini yanafanyika mambo mengi! Utani mwisho wa siku ni uhalisia! Kuwa mpole maisha yaendelee! Unakumbuka shuka kulishakucha! Mimi namfurahia mke wangu wa nyumbani nikifika home ni full kubembelezwa! Kuoa wanawake wa nyumbani raha sanaaa