Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio yangu anamsalimia jamaa flani hivi tena kwa mbwembwe "Mambo hubby " alivyoniona akashtuka coz hakutegemea kuniona pale.alipokuja home nikamuuliza hiyo issue akajibu tu simple kuwa ni utani wa kazini.
Wakuu nichukue hatua gani hapa?