Kumbe Mke wangu ana mume wake wa kazini!

Acha kwenda ofisini kwa mkeo ni rahisi kukutana na mume mwenza
 
Usijidanganye.... Hao nao wanabomolewa vizuri tu..... Tena unaweza kuta hao ndio zaidi kwasababu wapo huru sana kwakukosa kazi. Nimeshuhudia hayo kwa macho yangu tena sio mmoja au wawili.... Tena anaweza liwa kwenye kitanda chako.... Relax omba Mungu usijue.... Hayo yapo sana
 
Kwa hizi points timu kataa ndoa itachukua ubingwa na match 10 mkononi.
Timu kataa ndoa wanachukua ubingwa misimu yote, kubali ndoa tunafungwaje
Aliyeita ndoa "pingu za maisha" alimaanisha kitu. Huwezi fungwa pingu mikononi halafu ukaendelea kuwa na amani, furaha na utulivu wa maisha. Kila siku timu ndoa inalia na kuomba ushauri.
Ni zaidi ya hatari yenyewe sasa.
 
NI utani tu ondoa hofu
 
Nyie watu mnaojitungia stori zenu na kuja kuziandika humu JF kuhusu ndoa mnasababisha watu kuamini ndo ziko hivyo.
Alafu mnajionesha kama ma bwege flani hivi ambao msiokuwa na msimamo.

Mwingine anakiri kabisa eti mke wake kamfuma amatembea na kijaa wa mtaa tena nyumbani kwake alafu bado amawaza chakumfanya mkewe anaomba ushauri.

Acheni kujifananisha na Wamaume halisi(Alo owa) na Akili za kiume. Huwezi ukaowa ukaja na vi hoja kama hivi JF.
 
Hapo ni kumualika jamaa home mgonge 3some matata
 

Ndoa ni scam japo hata mie nina mke miaka 15 sasa, hutakiwi kuzingatia sana jua tu upo na best mnasaidiana machache maisha yaende
 
Ww mjinga,usingeuliza ndio ungepata majibu mengi zaidi,ungekaa kimya yeye angekuambia mwenyewe or unejua mengi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…