Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Nipo shamba boy hapa nakusaidia kazi ndogondogo..... Simkunjagi sana....Ukioa mfanyakazi tegemea hayo! Mkuu huku maofsini yanafanyika mambo mengi! Utani mwisho wa siku ni uhalisia! Kuwa mpole maisha yaendelee! Unakumbuka shuka kulishakucha! Mimi namfurahia mke wangu wa nyumbani nikifika home ni full kubembelezwa! Kuoa wanawake wa nyumbani raha sanaaa
🤣🤣🤣🤣Moja ya ajenda za kikao kijacho ni kuondoa ukomo ili mwanzilishi na mwenyekiti wa chama Ndg. @LiverpoolVPN aendele kuongoza hadi 2044. Chama kina maendeleo mazuri.
Mkuu sijakataa wanamke kuwa na ajira...ila sio mke wangu.Mkuu hamtaki wanawake wawe na Ajira?🤔
Sema katika maisha Jambo lolote lile tunatofaitiana namna yakulichukua au yalikulitizama,Mleta mada humfahamu hata kidogo,Aliyoyaongea sifahamu kama ni kwl au uwongo ila sote tunajua binadamu tunafautiana unapojichanganya na watu unaona meng inawezekana mtu mwingine angeachana na mkewe hapo hapo ,Mwingine angeshauwa,Mwingine anaona kawaida,utani (Mfano tu make wa Mwijaku) kwahio hapa tunapotoa mawazo Kuna watu watajifunza na kuelimika zaidiNyie watu mnaojitungia stori zenu na kuja kuziandika humu JF kuhusu ndoa mnasababisha watu kuamini ndo ziko hivyo.
Alafu mnajionesha kama ma bwege flani hivi ambao msiokuwa na msimamo.
Mwingine anakiri kabisa eti mke wake kamfuma amatembea na kijaa wa mtaa tena nyumbani kwake alafu bado amawaza chakumfanya mkewe anaomba ushauri.
Acheni kujifananisha na Wamaume halisi(Alo owa) na Akili za kiume. Huwezi ukaowa ukaja na vi hoja kama hivi JF.
Kuna story ya leadermoe...Anaeleza kabisa mke wa kakake alikuwa anamwita mke na bro wake anafahamu na wanaheshimiana ,my point ni kuwa usitoe hukumu kwa mazingira na experience ya maisha yakoI'm sorry but Mwanamke au Mwanaume aliye kwenye ndoa hawezi kufanya utani wa kuitana mume/mke na mtu asiye mwenza wake,
Mimi hata waume wa dada zangu marufuku kuniita 'mke', mimi nawaita 'kaka' na wamezoea hivyo, wake wa kaka zangu marufuku kuniita 'mume' mimi huwaita dada na wote wamezoea, heshima inatawala.
Huo utani huwa kweli,hulana hao mbwa waitanao mume-mke huko ofisini,kwa nini watu wazima wenye ndoa muitane mke-mume ofisini!?Ni utani wa maofisini, mtakuja kufa bure
Tumeyaona haya tangu 1980s huko,walimu wakiitana mke-mume,kisha ile saa sita kurudi nyumbani kisha rudi tena shule kama ilivyokua zamani,wao hawarudi,wanawekana ofisiniKwa kazini utani ni kitu cha kawaida! Mke wako anaweza kutaniwa kabisa hata kushikwa bega.
Huyo ni shemeji,mi shemeji zangu huwaita bebi,mke nk na haina shida, tofauti na mtu bakiKuna story ya leadermoe...Anaeleza kabisa mke wa kakake alikuwa anamwita mke na bro wake anafahamu na wanaheshimiana ,my point ni kuwa usitoe hukumu kwa mazingira na experience ya maisha yako
Hata hao wa nyumbani tunawapiga kwa hela za vikoba na kausha damu.Ukioa mfanyakazi tegemea hayo! Mkuu huku maofsini yanafanyika mambo mengi! Utani mwisho wa siku ni uhalisia! Kuwa mpole maisha yaendelee! Unakumbuka shuka kulishakucha! Mimi namfurahia mke wangu wa nyumbani nikifika home ni full kubembelezwa! Kuoa wanawake wa nyumbani raha sanaaa