MO analipa 4,000 hao ni vibarua, kwa Bakhressa nadhani ni 6,000Ila Mo anauwezo wa kucontrol hao watu walipwe shingapi kulingana na hela anayo mlipa contractor wake, haiwezekani contractor alipwe kila kichwa 12k yeye akawape 4k, bila kupepesa macho Mo atakua anawalipa 5k tu kwa kichwa
Ukiwa na kampuni ndio utaelewa kwanini kufikiria mawazo hayo ni simple kuliko utekelezajiNi yale yale tu.
Ni rahisi kwa ngamia kupenya tundu la sindano kuliko tajiri kuurithi ufalme wa mbinguniHuyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani buku nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
Sawa.hili suala sio kwamba lipo kimfumo zaidi?
kwamba kwa vile tanzania ni nchi maskini sana MeTL haiwezi kumudu kulipa vibarua vizuri, ikifanya hivyo bidhaa zitakuwa na bei kubwa halafu hazitoweza kushindana kwenye soko(ambalo pia ni la watu wenye kipato kidogo sana cha matumizi)
hivi hamna mwanauchumi huku kweli atufafanulie?
Labda kwa Bhakresa kwakua kuna ongezeko kiduchu turnover ya watu sio kubwa...huko kwa Mo kwa hii hali usipopata gap la kuiba kila mwezi lazima watu waondoke waingie wengineMO analipa 4,000 hao ni vibarua, kwa Bakhressa nadhani ni 6,000
Lakini watu wengi wanajaa kwa MO unafikiri kwanini?
Huu ni utumwa mkuu, kama viwanda ndio hivi bora visiwepo tu huenda hao watu wakafikiria kitu kingine cha maana cha kufanya.Sio elf 4000 Bwana ni elf 7500, ambayo unakatwa 1500 chakula cha mchana na unapata 6000 ambayo unaichukua kwa wiki, elf 36, ambayo ukipiga kwa mwezi ni Sh. 144000/=, Muda wa kuingia ni saa 1:30 asubh, muda wa kutoka ni saa 11 jioni, Kuna overtime ukitaka sh. 500 kwa kila saa moja utayoongeza.
Jamani Kwa Bakhres analipa vizuri kuliko Mo, kule ni elf 9000MO analipa 4,000 hao ni vibarua, kwa Bakhressa nadhani ni 6,000
Lakini watu wengi wanajaa kwa MO unafikiri kwanini?
12 na hamna overtime..na kazi za wahindi hamnaga kupumzika..hata kama hamna kazi atawapa fagio mkafagie lami hawajisikii vizuri wakiona watu wamekaa tu.Fuatilia kwa kina mkuu, Hiyo elfu4 ni kwa kazi gani?
Lakini pia ni masaa mangapi kwa siku, usikute kazi ni masaa6 tu kwa siku ili na wengine wapate.
Mkuu ni kubwa sana hiyo, kuna walinzi wanalipwa 120,000/=, wale saidia mama ntilie wanalipwa 3,000/= kwa siku, labda uwe saidia fundi ambako na kwenyewe haizidi elf 10Huu ni utumwa mkuu, kama viwanda ndio hivi bora visiwepo tu huenda hao watu wakafikiria kitu kingine cha maana cha kufanya.
Kwa Bakhressa hakuna mianya ya upigaji.Labda kwa Bhakresa kwakua kuna ongezeko kiduchu turnover ya watu sio kubwa...huko kwa Mo kwa hii hali usipopata gap la kuiba kila mwezi lazima watu waondoke waingie wengine
Kama tunakunywa jasho la Watanzania wenzetu basi afanye Mo extra buku alipe hao binadamu 10,000 kwa siku.Na unadhani akilipa elfu 15 na matozo ya Serikali hio Mo drinks bado utanunua kwa bei sawa na hio ?
Hii ni kweli? kama ni kweli basi watu wana maisha magumuBora huyo..nenda hapo azam ndio utahisi kufa,elfu 2500/= per day
Migahawani nafuu kiasi sababu anakutana na msosi hata ule wa jioni kipindi anatoka anakula yeye nyumbani ni kulala tu..sasa nawaza kwa mtu anaetegemea hiyo 4000 humo humo nauli,chakula na kodi aiseeh ni maumivu sio siri..huku uswahilini mgawahani day ni buku 3 na nifresh watu wanaishi.............inategemeana na mazingira uliyopo
Mkuu ni sawa kulingana na hali halisi nchini, Viwanda vingi vinalipa 5,000/= hadi 10,000/= kwa siku.Unaona ni sawa mtu kulipwa 4000 kwa masaa 6?
Inategemea na kitengo mbona hapa kwa Mo kuna watu wanapiga 15,000 per dayJamani Kwa Bakhres analipa vizuri kuliko Mo, kule ni elf 9000
Ulichoandika hapa kinaonesha upuuzi wakoWe ni kijakazi wake sio umekujaa kumtetea huyo muhindi koko
Kwa level ya ubilionea wa Mo hata kumtumia contractor anayewalipa watu 4,000 ni scandal.MO halipi watu 4,000
MO ametoa tenda kwa makampuni binafsi ambayo yanajishughulisha na kutoa vibarua kwa watu.
Kwa mfano hapo Vingunguti kwenye viwanda vya MO kuna kampuni linaitwa UPAMI.
Hili kampuni limechukua tenda kwa MO, maana yake MO kafanya makubaliano na hilo kampuni na kulilipa kiasi ambacho wamekubaliana, halafu hilo kampuni linaajiri vibarua ambao linawalipa 4,000.
Kwa hiyo hapo wakulaumiwa sio MO ni hilo kampuni. Kwasababu waajiriwa rasmi huwezi kusikia wanalipwa kiwango hicho.
Vibarua wanaofanya kazi Pepsi, Bonite, ASAS, Tanga Fresh na Azam wanalipwaje?hili suala sio kwamba lipo kimfumo zaidi?
kwamba kwa vile tanzania ni nchi maskini sana MeTL haiwezi kumudu kulipa vibarua vizuri, ikifanya hivyo bidhaa zitakuwa na bei kubwa halafu hazitoweza kushindana kwenye soko(ambalo pia ni la watu wenye kipato kidogo sana cha matumizi)
hivi hamna mwanauchumi huku kweli atufafanulie?