Tetesi: Kumbe Mo Dewji analipa TZS 4,000 watu kwenye kampuni yake

Shida ni ileile.
 
Nchi hii kazi nyingi watu wananyonywa Sanaa, shida ni kulee juuuu. Zipo kazi hapa hapa TZ hiyo buku nne ni nyingi Sanaa, zipo kazi au tuseme vibarua watu huondoka na buku mbili sometimes buku japo chakula wanakula free. Ndo ujue dunia hii usipoweza kusugua akili Ili kusurvive na uishi vizuri utaishia kutumiwa miaka yako yote.
 
Watanzania wengi hatujitambui yaani tunapenda kuajiriwa sana na kunyonywa, kwa nchi yenye mabonde ya kilimo kama hii kwenda kufanya vibarua kwa wahindi ni ujinga.
 
4,000/=?!!!! , sasa hapo mtu unakula shs.ngapi? Nauli shs.ngapi? Hiyo ni kazi au utumwa?
 
Hizo ajira wamelazimishwa?
Kwanini usiombe kazi serikalini wakupe mshahara mnono na Gari ya kutembelea?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…