Marekani waajiri wanatumia consultants.
Bank ina waajiri wake wachache, kazi nyingi zinafanywa na consultants ambao ni waajiriwa wa ABC Consultancy Services.
Lakini, kwa sababu bank inajali ufanisi, haitaki wizi, yule meneja muajiri wa bank anaweza kuwaukiza wake consultants wanaliowa kiasi gani? Wakisema wanaliowa kidogo sana, wakati bank inailipa ABC Consultancy Services heoa nzuri, bank inaacha kuitumia ABC Consultancy Services.
Kuna jamaa mmoja namjua aliniambia hiki, aliulizwa na meneja wake analiowa kiasi gani na Consultancy Service Comoany aliyokuwa anafanyia kazi.
Kwa Mo Dewji inaonekana Mo Dewji na hayo makampuni anayoyatumia kupata vibarua wote wanashirikiana kuwalioa vibarua mishahara midogo.