The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,166
- 1,421
Polee boss,original thread imefanyiwa moderation ...na kusomeka hivyo unavyokiona sasaMbona sijaona viashiria vyovyote vya ubaguzi kwenye UZI wa jamaa? Labda tunatofautiana mitazamo; mimi nilivo muelewa, ni kwamba kaitazama status ya MO na bidhaa anazo zitengeneza, hafananani na havifanani na hiyo Tsh 4000/= Sijaona ubaguzi hapo hata kidogo
Waje kubeti kwa high stake odd ndogo tu , ukiwa na 20k ambayo umeipata kwa moo siku 6 , Iweke yote helabet au sportbeti then tafuta game mbili tu kwa siku update odd ya 1.5 ukitulia week nzima unalost mara 1 tu manake utakuwa baada ya mwezi utafungua genge litakalokupa 7-10 kwa siku.Unampa chaguo lipi lingine ili akalipwe mapesa mengi?
Wanachoka sana.Sasa ni heri uwatafutie sehemu nyingine wafanye kazi kwa muda mfupi na walipwe vitita vinono.
NB:Hawawezi kumsusia kazi zake na kujiondokea?
Acha uongo huwezi somesha watoto kwa kulipa ELFU 4Wakati unamlaumu Mo kulipa 4000, unaweza kutuambia wewe na familia yako mmetoa ajira ngapi kwa Watanzania hata za kuwalipa 2000 kwa siku?
Kwa taarifa tu kwako ndio muajiri mkuu katika sekta binafsi Tanzania na hiyo 4000 unayoikandia binadamu wenzetu wanafanya maisha na kusomesha watoto zao.
Lastly naona damu ya kibaguzi imekujaa mwilini na kujiona wewe ndio Mtanzania zaidi kuliko Mo kisa rangi ya ngozi yako sio?
Sio Mo tu kwa Bongo hakuna local companies ambayo inafanya kazi na consultant ikaanza kumfatilia consultant analipa wafanyakaz wake kias gani na hata wakijua they care less as long as kazi zao zinafanyika..Marekani waajiri wanatumia consultants.
Bank ina waajiri wake wachache, kazi nyingi zinafanywa na consultants ambao ni waajiriwa wa ABC Consultancy Services.
Lakini, kwa sababu bank inajali ufanisi, haitaki wizi, yule meneja muajiri wa bank anaweza kuwaukiza wake consultants wanaliowa kiasi gani? Wakisema wanaliowa kidogo sana, wakati bank inailipa ABC Consultancy Services heoa nzuri, bank inaacha kuitumia ABC Consultancy Services.
Kuna jamaa mmoja namjua aliniambia hiki, aliulizwa na meneja wake analiowa kiasi gani na Consultancy Service Comoany aliyokuwa anafanyia kazi.
Kwa Mo Dewji inaonekana Mo Dewji na hayo makampuni anayoyatumia kupata vibarua wote wanashirikiana kuwalioa vibarua mishahara midogo.
Vipo hapa mkoani vinalipa 15k per day. Japo ni kazi nzito na unaweza Toka na kilema cha maisha. Usinifate dmTaja kiwanda kinacholipa 20,000 kwa siku? Nenda viwandani ukashangae. Au risachi yako umefanya kwa Mo tu
Ni Bora wanakula kwa jasho lao,. Hawaibi, hawajiuzi, hawakabi, sio ombaomba wa mtaani. Mwenyezimungu azidi kuwabariki ktk kazi zao.huku uswahilini mgawahani day ni buku 3 na nifresh watu wanaishi.............inategemeana na mazingira uliyopo
Kumbuka mwalimu anatuza kiinua anabaki na akiba, tofauti na vibarua?Mwaka 2009 mwalimu daraja iiiC alikuwa analipwa Tsh 170000 kwa mwezi na hapo chakula unajitegemea hiyo ni sawa na Tsh ngapi kwa siku? Hapo ni serikali ndiyo ilikuwa inalipa hivyo Sasa unataka mtu binafsi alipeje kama serikali unayoipelekea kesi yenyewe inalipa kiduchu?
yaani wewe unataka serikali ilazimishe mtu kulipa pesa Fulani wakati yenyewe tu ni choka mbaya?
Inatakiwa kampuni zote zifanye hivyo kama US embassy, kuwe na sheria kali, wafanyakazi wanatakiwa kuji organize zaidi kupigania haki zao. Ila umasikini ndiyo unasababisha hali hiyo kwa sababu ukigoma, wenzako wanachukua kazi kwa mshahara huo huo mdogo.Sio Mo tu kwa Bongo hakuna local companies ambayo inafanya kazi na consultant ikaanza kumfatilia consultant analipa wafanyakaz wake kias gani na hata wakijua they care less as long as kazi zao zinafanyika..
Mfano chukulia kampuni za ulinzi.. kampuni inatoza 250k hadi 300k kwa askari asiye na silaha na 500k hadi 700k kwa askari mwenye silaha hapo nazungumzia kampuni hizo ngodo na level ya kati zile kubwa inafika hadi 1.5m na bado huyo askari anapewa 180k per month kabla ya makato.. baada ya makato anabaki na 120k au 90k .. uniform zenyewe hiyo aliopewa toka alipoajiriwa arakaa nayo hata miaka 3
Halafu huyo mtu unakuta analinda mali za mamilioni kama sio bilions..
watu pekee ambao najua wanawalazimisha consultant wao kufata taratibu zao ni US Embassy hao nina ushahidi wa 100% .. inafikia hatua watu wanahonga apangiwe kulinda pale msasani US embassy.. maana anajua kule kila mwaka uniform mpya na mshahara wao unafata rate y US wanayotaka..
Na askar waliopangiwa pale hawahamishwi kituo kiholela yaani kama mko 20 mnapishana wenyewe tu kumi mchana kumi jioni.. ilitokea kuna ingizo jipya ni lazima uttaratibu ufatwe
Kuna mwaka kuna kampuni ilitolewa sababu walikuwa wanawaminya walinzi wao haki zako wao US walipogundua wakaitisha tender wakawapiga chini wale jamaa ila mkandarasi mpya akapewa sharti la kuajiri wale askari wa ile kampuni iliofukuzwa
Niliona pale watu wanaingia lindo wanavua nguzo za kampuni ya zamani wanavaa za kampuni mpya yaan US embassy aliwahamisha ajira zao kwa mkandarasi mpya
Bora uajiri watu wachache, uwalipe kipato kizuri hata wafanye masaa mengi lakini malipo mazuri, sio elf 4000. Jamani hata kijana ambaye hajaoa, haitoshi kuwa hata na akiba, ukosefu wa ajira kwa watz hawana pakujipatia riziki isiwe sa7bu kuwafanya watumwa, kisa hakuna watakapokwenda,?Anzisha kiwanda Kisha lipa 15 per day na chakula kiwe juu yako tuone kama kitachukua hata miezi mitano hujafilisika.
Umeandika ujingaWakati unamlaumu Mo kulipa 4000, unaweza kutuambia wewe na familia yako mmetoa ajira ngapi kwa Watanzania hata za kuwalipa 2000 kwa siku?
Kwa taarifa tu kwako ndio muajiri mkuu katika sekta binafsi Tanzania na hiyo 4000 unayoikandia binadamu wenzetu wanafanya maisha na kusomesha watoto zao.
Lastly naona damu ya kibaguzi imekujaa mwilini na kujiona wewe ndio Mtanzania zaidi kuliko Mo kisa rangi ya ngozi yako sio?
Nikutajie viwanda/company vinavyolipa hela zaidi ya hiyo?Anzisha kiwanda Kisha lipa 15 per day na chakula kiwe juu yako tuone kama kitachukua hata miezi mitano hujafilisika.
Hiyo ni tafsiri yako.Ni watanzania, na Mo dewji ni mtanzania pia.
Shida mleta mada ameileta kivingine kana kwamba mo sio mtanzania, tuacheni ubaguzi
Kiukweli watanzania wengi bado ni wabaguzi, tena sana, refer hata timu zetu za kiafrika zinapokutana na timu za kiarabu uone wanavyorushiwa waarabu maneno ya kibaguzi na matusi juu. Ni akili za kipumbavu tuHiyo ni tafsiri yako.
Kama hujui kwamba waarabu ni vinara wa ubaguzi, jua leo!Kiukweli watanzania wengi bado ni wabaguzi, tena sana, refer hata timu zetu za kiafrika zinapokutana na timu za kiarabu uone wanavyorushiwa waarabu maneno ya kibaguzi na matusi juu. Ni akili za kipumbavu tu
Kama hujui kwamba waarabu ni vinara wa ubaguzi, jua leo!
Not true! Waarabu ni wabaguzi!Nimejua huenda kabla yako, hakuna watu duniani peace and love kama waarabu, japo sio wote ila most of them wako poa, sema hujaishi nao, au unaishi nao sema unachuki nao.
Walikubagua lini?Not true! Waarabu ni wabaguzi!