Tetesi: Kumbe Mo Dewji analipa TZS 4,000 watu kwenye kampuni yake

Hana shule halafu anataka NTEZE (10K)
 
Kama hulijui Jaramillo la kitaa utaona mdogo, sio Metltu ni viwanda vyote mpaka Azam
 
Si bora mtu ukatembeze madeli ya icecream za azam kuliko kushindia buku bee siku nzima!!!
 
Hapana useme hivyo, labour law zirekebishwe, walipwe ujira wenye sura ya kibinadam
 
Muda mwingine jaribuni kutoka nje kuangaza ya dunia. Hao mama lishe wote unaowaona mjini humu wasaidizi wao wanalipwa 3000 kwa siku imagine toka asubuhi chai, chakula cha mchana hadi usafi jioni na bado mtu yupo tu ndo ujue Hali mtaani ni mbaya
Mtaani watu ambao wanapata chochote wanajua ni kwepesi sana
 
Ooh, Lord have mercy.
 
Watumwa walikua wanalishwa vizuri na sehemu ya kulala na mahitaji yote sana ilo wawe na nguvu Sasa huyu GABACHORI yeye anawalipa elfu 4000 na Kila kitu wanajitegemea huu ni zaidi ya utumwa
Shida ni kujiona wewe ndio Mtanzania zaidi na unauchungu mno na Watanzania wakati hauna unachowasaidia...huyo huyo Gabachori anasomesha zaidi ya Watanzania zaidi elfu 10 kwa mwaka,anagharamia matibabu ya watoto wa Watanzania wenzake wenye ngozi nyeusi kitengo cha Saratani Ocean Road,Amechimba visima vinavyowapatia maji safi na salama Watanzania wenzake wenye ngozi nyeusi kariibu mikoa mingi yenye vijiji vyenye shida ya maji...Mtanzania wewe umesaidia kipi kwa watanzania wenzako wanaolipwa 4000 kama unavyodai??
 
Waliomshauri walifanya jambo la maana
 
Muda mwingine jaribuni kutoka nje kuangaza ya dunia. Hao mama lishe wote unaowaona mjini humu wasaidizi wao wanalipwa 3000 kwa siku imagine toka asubuhi chai, chakula cha mchana hadi usafi jioni na bado mtu yupo tu ndo ujue Hali mtaani ni mbaya
Huyo tunaweza kumpa udhuru ni mama lishe, lakini pia wafanyakazi wake wanakula hapo na wateja wengine wanaacha chenji au wanahonga. Mo kulipa kiwango sawa cha ujira na mama Lishe mdogo sio sawa hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…