Kumbe mzee Mwinyi "Mzee Ruksa" ni mzaliwa wa Mkuranga, Pwani...

Alafu wakati mwingine mtu alipozaliwa inaweza kuwa siyo kwake.Baba yangu mm ni wa Songea but alikuwa anafanya kazi moro,sisi watoto tulizaliwa huko lkin mara zote sisi husema ni watu wa Songea.
 
Naona unahitaji kupewa historia kidogo lakini hapa patakuwa apatoshi ila jipe HOMEWORK kujua historia ya wakazi wa PEMBA na UNGUJA wali form ZANZIBAR.

Ila MWINYI sio mnzazibar,Hayati jaji SEPETU,Masauni na wengine wengi tu
Naifahamu historia vizuri pengine kuliko wewe....hiyo homework nilifanya siku nyingi sana..kama ni juu ya watu gani wa Pemba na Unguja waliofanya visiwa vya Zanzibar..basi utakuta hakuna Mzanzibar kabisa......
 
Mkuu naona kama una hoja hapa,ila hujaandika vizuri kwa mtu kuelewa.
Itakuwa ujaangalia/sikiliza speech za kuapishwa leo na ile ya juzi.

Ukijumlisha kauli zao ni mapema sana mama na mwinyi kuwa puppets wa Othman Masoud washaanza kuzinadi hoja zake mapema sana.

Jamaa huko inabidi wazinduke we have a problem.
 
Naifahamu historia vizuri pengine kuliko wewe....hiyo homework nilifanya siku nyingi sana..kama ni juu ya watu gani wa Pemba na Unguja waliofanya visiwa vya Zanzibar..basi utakuta hakuna Mzanzibar kabisa......
Basi nenda pale MKURANGA na vitongoji vya MWANA MBAYA utajua asili ya MWINYI
 
Kwa hiyo watoto wa huyu Mpemba jirani yangu waliozaliwa Mwananyamala hospital sio Wapemba/Wazanzibari ?
 

Mtazamo tu sio Fact.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…