Kumbe ndio maana nchi ya Rwanda inakua sana kiuchumi

Kosugi Unabishana na viaz hapa! ww mwambie tu pesa ya kenya imeizid ile ya Japan lakin japan ni nchi ya 4 duniani kiuchumi.
 
Kosugi Unabishana na viaz hapa! ww mwambie tu pesa ya kenya imeizid ile ya Japan lakin japan ni nchi ya 4 duniani kiuchumi.
Nimemtolea mfano wa S.Korea anasema tunalingana nao kiuchumi.
Aiseee😂😂😂😂😂😂😂
 
Ndiyo. Nenda NBS (national bureau of statistics) utajua hilo
*South Korea ni ya 14 kiuchumi duniani.
*Tanzania ni ya 76 kiuchumi duniani.
*South Korea ni upper middle income country.
*Tanzania ni low income country.
*South Korea GDP ni $1.67trillions.
*Tanzania GDP ni $75 billions.

Mkuu hivi bado tupo sawa hapo kiuchumi!??
Hapo sijataja vipengele vifuatavyo!?
*Gross national income.
*Purchasing power parity.
*GDP per capita .
 
Jitu zima na akili zake linaamini Mungu kazaliwa. Huyo agtakuwa ni Kimungu mtu, siyo Mwenyeezi Mungu, asiyezaa wala kuzaliwa.ndsiyo waliwaWajingao.

Wajinga ndiyo waliwao.
 
Acha bangeeeee, mnafundisha kinyume na biblia, tunapaswa kumuomba kupitia kona la Yesu ni si jina la mama yake .Yule mama ni mwanadamu aliyekuwa anamucha Mungu
 
Acha bangeeeee, mnafundisha kinyume na biblia, tunapaswa kumuomba kupitia kona la Yesu ni si jina la mama yake .Yule mama ni mwanadamu aliyekuwa anamucha Mungu
Hata Yesu alikuwa Binadamu kweli na Mungu kweli
 
Bangi hazikufai
 
Huu ni upumbavu kiwango cha PhD!
 
Linganisha pesa ya kenya na japan tuone
Huko mbali ya Tanzania na Korea Kusini zimepishana point tu.
Ila hakuna taifa lolote Afrika linaifikia Korea Kusini kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…