Kumbe ndio maana nchi ya Rwanda inakua sana kiuchumi

fakeni afrikani dogi
 
Mbona hueleweki! Tunazungumzia kutokewa na Bikira Maria au kufa?
Ndo hivyo ujue imani ni bayana ya yanayo onekana na yasiyoonekana. Sisi wakatoliki tunaamini alitikea kibeho na tunafanya hija huko
 
Ni kweli upo sawa ila nakwambia hizo ni dalili za uchanga. Ukikua kiimani utaacha.
Nikue mara ngapi. Au walokole ndo siku wakijua ukweli watarudi wakijipiga vifua kuwTumekosa sisi tumekosa sana ndiyo masna tunakuomba maria mwrnye heli bikira wa daima.
 
Ndo hivyo ujue imani ni bayana ya yanayo onekana na yasiyoonekana. Sisi wakatoliki tunaamini alitikea kibeho na tunafanya hija huko
Sawa,mmejuwaje kama huyo ndiye Bikira Maria maana nina uhakika hakuna mtu wa zama hizi anayemfahamu kwa sura je kama shetani anawachezea mtajuwaje?
 
Hayo yote tuyaweke pembeni tuje hapo kwenye Rwanda kukua kiuchumi hapa Afrika mashariki.
 
Malaria 2
 
Sawa,mmejuwaje kama huyo ndiye Bikira Maria maana nina uhakika hakuna mtu wa zama hizi anayemfahamu kwa sura je kama shetani anawachezea mtajuwaje?
Tulimtsmbua kwa maombi na kufunga tukafunuliwa. Kama tunavyoomba na kufunga kutangazwa kwa mtakatifu. Mungu hajatuonesha ka Nyerere ni mtakatifu. Siki akituonesha basi tutamtangaza
 
Basi sawa,nisikukere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…