Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Kwani kuna tofauti kati ya kanisa katoliki na makanisa mengine, yote si makanisa tuWe hujiulizi kwa nini vikanisa vyenu vinapotea daily lakini kanisa katoliki linashamili kila uchwao licha ya dhoruba
Kanisa la kakobe limeshakufa. Kanksa la gwajima limeshakufa. Kanisa la mwingula limeshakufa bado la mwanposa lakini hili la Mungu halifi hata kidogo ndo kwanza linazidi kuchanja mbuga licha ya kutukanwa daily ukisikia mahubili ya wasabato yote ni kulishmbuliaKwani kuna tofauti kati ya kanisa katoliki na makanisa mengine, yote si makanisa tu
Sawa, lakini umekubali kwamba farao naye alikuwa na masanamu?Kanisa la kakobe limeshakufa. Kanksa la gwajima limeshakufa. Kanisa la mwingula limeshakufa bado la mwanposa lakini hili la Mungu halifi hata kidogo ndo kwanza linazidi kuchanja mbuga licha ya kutukanwa daily ukisikia mahubili ya wasabato yote ni kulishmbulia
dah. anaomba msaada kwa mipicha katika dunia hii ya wasomi?
Masanamu. Sisi wakatoliki hatunaga masanamu tuna visakramenti. Hii ndo tofautiSawa, lakini umekubali kwamba farao naye alikuwa na masanamu?
Pale Kibeho nchini Rwanda Bikira maria aliwatokea watu na mpka leo huwa mamia ya maelfu wanaenda kuhiji pale. Ikumbukwe Bikra maria ni mama wa bwana hata Elizabeth alikiri hilo baada ya kujazwa roho mtakatifu kwa kutembelewa na Maria kitoto kichanga kikaruka tumboni kwa furaha.
Nawasihi hawa uchwara wasiomjua mungu na bado wanajiita walokole wamuheshimu mama wa mungu ili wapate ondoleo la dhambi kupitia mwanae kama alivyotueleza kuwa yeye ndiye njia ya kweli na uzima.
Huwezi kimheshimu mwana ukamuacha mwsna.
Mama maria ni mama yetu kwa kuwa ameunganika na mwanae yesu katika kutokomboa (mathayo)
Usomi wako mbele ya Mungu ni bure na ujingadah. anaomba msaada kwa mipicha katika dunia hii ya wasomi?
😂 Na wewe huwa unaomba mbele ya katuni la zege?😂😂😂😂😂 Daaah
Mkuu unajielewa unachozungumza!??
Yani Bikra Maria ashuke Rwanda!?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Hiyo Rwanda yenye uchumi mkubwa ni ipi!?
Rwanda still a low income country.
Na bado ina miaka mingi sana kuendelea kiuchumi.
Mbele ya makanisa yenu hakuna masanamu au mapicha?Masanamu. Sisi wakatoliki hatunaga masanamu tuna visakramenti. Hii ndo tofauti
Hiki kibri cha uzima ulichonacho kitatoka na utajuta sana kwa nini ulimkataa mama wa mungu. Ipo siku yaja nyote mtamkiri.😂 Na wewe huwa unaomba mbele ya katuni la zege?
Kuna visakramenti hakuna masanamuMbele ya makanisa yenu hakuna masanamu au mapicha?
Kama Mungu ana mama, je nani alikuwa Mungu wakati bado huyo Mungu hajazaliwa?Hiki kibri cha uzima ulichonacho kitatoka na utajuta sana kwa nini ulimkataa mama wa mungu. Ipo siku yaja nyote mtamkiri.
Hivyo visakaramenti havina maudhui ya maumbo ya watu?Kuna visakramenti hakuna masanamu
Naweza kusema this is a rubbish thread of the year.Pale Kibeho nchini Rwanda Bikira maria aliwatokea watu na mpka leo huwa mamia ya maelfu wanaenda kuhiji pale. Ikumbukwe Bikra maria ni mama wa bwana hata Elizabeth alikiri hilo baada ya kujazwa roho mtakatifu kwa kutembelewa na Maria kitoto kichanga kikaruka tumboni kwa furaha.
Nawasihi hawa uchwara wasiomjua mungu na bado wanajiita walokole wamuheshimu mama wa mungu ili wapate ondoleo la dhambi kupitia mwanae kama alivyotueleza kuwa yeye ndiye njia ya kweli na uzima.
Huwezi kimheshimu mwana ukamuacha mwsna.
Mama maria ni mama yetu kwa kuwa ameunganika na mwanae yesu katika kutokomboa (mathayo)
Kwa mtu aliyekua kiimani hawezi kuzisema dini za watu wengine. Focus kuwaambia watu wamwamini Mungu wa Mbinguni katika Roho zao sio kusema dini za wengine. Mungu anaabudiwa katika na Roho sio kwenye huo mlima unao uamini boss. Maana hujui siku wala saa. Hivyo hata kwenye gari unatakiwa kumwabudu Mungu hata ukiwa chini ya shimo unachimba madini hata ukiwa chooni pote unatakiwa kumwabudu Mungu hakuna sehemu maalumu ya kumwabudu Mungu. Hayo mengine ni matakwa ya katiba za makanisa tu.Nikue mara ngapi. Au walokole ndo siku wakijua ukweli watarudi wakijipiga vifua kuwTumekosa sisi tumekosa sana ndiyo masna tunakuomba maria mwrnye heli bikira wa daima.
Thread ya kijinga na kinafiki.Masanamu. Sisi wakatoliki hatunaga masanamu tuna visakramenti. Hii ndo tofauti
Hapana, fr elfu 30 sawa na shilingi 70 siyo laki mojaLaki moja ya tz ni sawa na elfu 30 ya pesa ya Rwanda