Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

Paul Makonda, usikubali kusingiziwa na kuaibishwa, tunaomba tukuchangie hiyo Billion 1.2, ulipe kodi yao, makontena yatoke, kisha sambaza vifaa hivyo mbele ya waandishi wa habari, ili waliokusingizia kuwa unapiga deal's, waaibike.

Endelea kumtegemea Mungu, hata hili la makontena, litapita tuu kama upepo.

P
 
Unadhani kuna mjinga Tanzania? Kama wapo ni 0.01% (ukiacha wasiosoma, wazee vijijini, vichaa ambao ndiyo nguzo kubwa ya CCM)
 
Huyo MTU ni mpiga dili aliejificha kwenye mgogo wa kusaidia waalimu
 
Issue ishaisha jumatatu magazeti yatakuwa na front page tofauti..... Na mnaefikiri hatakuweko ofisini atakuwa anakagua lile jishi la usafi wa jiji....watanzania ni watu wanaosahau mapema, hapa uvumilivu na anaweza!
 
Hakika ni wivu tuuu.kisa anakamata madawa ya kulevya.

Usoga wi kua kati mwinansongo,cc wazilankende woteee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…