Kumbe Rais anapewa Milioni 60 kila mwezi kufanyia chochote anachoona kinafaa? Utaratibu gani huu?

Kumbe Rais anapewa Milioni 60 kila mwezi kufanyia chochote anachoona kinafaa? Utaratibu gani huu?

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?

Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.

Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?

Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And why is this a thing?

==============================================

Fatma.png

Kama watanzania wote tungekuwa na upeo na uwezo wa kujiuliza maswali kama haya hakika kungekuwa na mabadiriko makubwa sana kisiasa. Transparency, Responsibility and Accountability

Wauliza maswali kama hawa wanapotezwa na kukejeliwa na machawa mkuu.

Kama taifa tunapitia kipindi kigumu
 
Mbona pesa ndogo sana hiyo.

Kwanza mshahara wake unatakiwa uwe si chini ya M 200 kwa mwezi.

kuongoza wapumbavu hawa sio kazi rahisi sana. Ina umiza kichwa.

Povu. Ruksa

Yaani Milioni 60 kwa mwezi ni hela ndogo?

Hivi unajua kuna watu wanakufa mahospitalini wanakosa 150k ya matibabu?

Na unataka Rais wa Tanzania alipwe Milioni 200 kwa mwezi yaani mshahara wa zaidi y Rais wa Marekani?

Unaishi Tanzania kweli?
 
Wakuu,

Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?

Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.

Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?

Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And why is this a thing?

==============================================

View attachment 3180555

View attachment 3180558
Unauliza wakati unajua ni wizi wa kawaida tena wa kiwango cha juu? Kwanini namna hii watu wasiuane kwa sababu ya ulaji rahis aka urais?
 
Yaani Milioni 60 kwa mwezi ni hela ndogo?

Hivi unajua kuna watu wanakufa mahospitalini wanakosa 150k ya matibabu?

Na unataka Rais wa Tanzania alipwe Milioni 200 kwa mwezi yaani mshahara wa zaidi y Rais wa Marekani?

Unaishi Tanzania kweli?
Nchi tajiri sana hii mkuu.
Hiyo pesa ndogo bhana.

Hivi mimi niwe rais unipe posho ndogo hiyo nikubali? Hapana aisee
 
Back
Top Bottom