Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hel nsogo snaa hiyo. Hakika wana iundermine nafasi ya urais. Mi kwa siku naingiza milin 10. Kwa mfanyabishara yeyote ataconclude kuwa kumbe urais ninumaskiniWakuu,
Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?
Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.
Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?
Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And why is this a thing?
==============================================
View attachment 3180555
View attachment 3180558
M200 kwa sababu zipi? Rais anaghalamikiwa kila kitu maisha yake yote ,halipi kodi so m200 ya nini?Mbona pesa ndogo sana hiyo.
Kwanza mshahara wake unatakiwa uwe si chini ya M 200 kwa mwezi.
kuongoza wapumbavu hawa sio kazi rahisi sana. Ina umiza kichwa.
Povu. Ruksa
sasa tatizo liko wapi huyo ni Rais unaona kunashida gani? yaani roho mbaya kama hizi ndiyo hazitakiwi tzWakuu,
Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?
Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.
Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?
Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And why is this a thing?
==============================================
View attachment 3180555
View attachment 3180558
Ndogo sana, hiyo ni bonus za wakurugenzi kwenye mashirika ya UMMAWakuu,
Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?
Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.
Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?
Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And why is this a thing?
==============================================
View attachment 3180555
View attachment 3180558
sasa lissu huyuhuyu aliyeita fungu la kumi la ruvemarila rushwa, tumchague kwa kazi ipi?Mkuu wa Mkoa anapewa ,Mkuu wa Wilaya anapewa pia zinaitwa hela za mchango Kwa jamii.
Mfano unakuta Rais kaalikwa au Kiongozi yeyote wa Serikali unategemea akiombwa au kuwiwa mchango atoe kwenye mfuko wake? Huko ndiko Kuna goli.la mama,Kuna zile hela Mwendazake alikuwa anagawa barabarani nk nk.
Mwisho hiyo ni pesa ndogo sana ni vile maskini mna shida sana kichwani mwenu.
Ngoja mumchague maskini mwenzenu Lisu huko tuone mtakavyoneemeka 🤣🤣