Kumbe Rais anapewa Milioni 60 kila mwezi kufanyia chochote anachoona kinafaa? Utaratibu gani huu?

Kumbe Rais anapewa Milioni 60 kila mwezi kufanyia chochote anachoona kinafaa? Utaratibu gani huu?

Naungana na wewe mkuu.
Kwanza huyo maza sijui tu hali yake ipoje, kama yule aliyejiita jiwe( mwamba) sahivi ni udongo sababu ya watz.
Imagine mtu anakufa kisa hizi ng'ombe zinazojiita wananchi wa Tanzania 🙌
 
Wakuu,

Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?

Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.

Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?

Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And why is this a thing?

==============================================

View attachment 3180555

View attachment 3180558

..Shangazi hapaswi kuridhika na majibu hayo.

..pesa anayohonga Mama Abduli ni nyingi kuliko 720 mil per year iliyoandikwa kwenye vitabu.

..kuna Askofu kahongwa 150 mil, kuna Shekhe kahongwa gari brand new, ongeza na fedha za kununua magoli, hiyo ni zaidi ya 720 mil.

..Shangazi arudi akaulize yanakotoka mapesa anayohonga Mama Abduli.
 
Hajalazimishwa kuongoza.

Akiona kazi inamuelemea anaweza kupisha wengine wakaendelea.

Urais ni choice. Hajalazimishwa
Nmezungumzia cheo cha urais na sio samia, sisi wabongo akilini kuna matope ndo mana kuna upuuzi mwingi unafanywa na serikali ila watu wapo kimya tuu
 
..Shangazi hapaswi kuridhika na majibu hayo.

..pesa anayohonga Mama Abduli ni nyingi kuliko 720 mil per year iliyoandikwa kwenye vitabu.

..kuna Askofu kahongwa 150 mil, kuna Shekhe kahongwa gari brand new, ongeza na fedha za kununua magoli, hiyo ni zaidi ya 720 mil.

..Shangazi arudi akaulize yanakotoka mapesa anayohonga Mama Abduli.

Naunga mkono hoja

Kinachonishangaza ni kwanini CAG hapiti kwenye hizi hela ambazo Rais anatoa hovyo
 
Mbona pesa ndogo sana hiyo.

Kwanza mshahara wake unatakiwa uwe si chini ya M 200 kwa mwezi.

kuongoza wapumbavu hawa sio kazi rahisi sana. Ina umiza kichwa.

Povu. Ruksa
Povu ni kwamba Rais hakupaswa hata kuwa na mshahara, maana anahudumiwa kila kitu mpaka na familia yake.
Ndiyo maana hatukushangaa kusikia 'rais' wa mkoa mmoja huko kaskazini akisema hajawahi kupokea mshahara..!!!
 
Jiwe alikuwa anatembea na maburungutu ya pesa kwenye gari, kwa vyovyote vile zile pesa zilikuwa ni zaidi ya hizo Milioni 60

Uzuri wa CAG haruhusiwi kufika huko Ikulu kufanya mahesabu!

Jiwe naye alikuwa anajifanya hapendi ubadhirifu kumbe kila mwezi kuna kitita cha 60 Million kinatoka kinaingia kwake.

Naanza kuelewa kwanini alikuwa hapatani na Assad
 
Povu ni kwamba Rais hakupaswa hata kuwa na mshahara, maana anahudumiwa kila kitu mpaka na familia yake.
Ndiyo maana hatukushangaa kusikia 'rais' wa mkoa mmoja huko kaskazini akisema hajawahi kupokea mshahara..!!!

Rais wa Kaskazini ni nani mkuu?
 
Povu ni kwamba Rais hakupaswa hata kuwa na mshahara, maana anahudumiwa kila kitu mpaka na familia yake.
Ndiyo maana hatukushangaa kusikia 'rais' wa mkoa mmoja huko kaskazini akisema hajawahi kupokea mshahara..!!
Mtu 1 kwa watu zaidi ya milion60 Kuna tatizo gani mkuu.

Pesa zenyewe ndogo hizo. Tuweni na upendo basi.

Tumupuuze na kumkosoa kwa vitu vingine lakn kuhusu mshahara tumwache tu kwanza aongezewe tu
 
Wakuu,

Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?

Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.

Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?

Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And why is this a thing?

==============================================

View attachment 3180555

View attachment 3180558
Ndo maana wanatuua ili kulinda maslahi ya kidhuluma kama haya
 
Praise team kama wewe ndo mnakwamisha taifa.

Wewe kila atakalofanya SSH utasifia tu
Rais pekee ambaye nilikuwa namuunga mkono n JPM tuu na sio hao wengine wote, hata angekubaka bado nngemuunga mkono.
Tatizo lenu Mkiambiwa ukweli mnadhani kila mtu n chawa.
 
Jiwe naye alikuwa anajifanya hapendi ubadhirifu kumbe kila mwezi kuna kitita cha 60 Million kinatoka kinaingia kwake.

Naanza kuelewa kwanini alikuwa hapatani na Assad
Kwahy hy pesa imeanzia kwa JPM?
Nyie chadema mngeupata urais mngeikataa hy pesa?
 
Back
Top Bottom