Kumbe Rais anapewa Milioni 60 kila mwezi kufanyia chochote anachoona kinafaa? Utaratibu gani huu?

Kwahy hy pesa imeanzia kwa JPM?
Nyie chadema mngeupata urais mngeikataa hy pesa?

Mimi sio CHADEMA

Na still CHADEMA hawajashika dola. We will judge them wakishaingia.

Kama Rais analipwa mshahara, anapewa posho za safari na familia yake inahudumiwa kila kitu anahitaji Milioni 60 tena ya nini?

Kwanini Rais apokee Milioni 60 ambayo ataamua ataifanyia nini wakati kuna watu wanalala chini mahospitalini?

Ni nchi gani unayoijua wewe inafuata utaratibu huo?
 
Anaingiza shingapi?
Marais wa Africa ni matajiri kuliko marais kutoka mabara yote duniani... Kwa sababu, katika nchi za kiafrika hakuna rule of law, wananchi ni uneducated, democracy hakuna, wanachukua rushwa za kiwango cha juu kutoka katika makampuni, wanaingiza pesa nyingi kuendesha biashara zao binafsi, Kwa ujumla nathibitisha wanaingiza pesa nyingi sana...
 
Wakuu,

Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?

Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.

Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?

Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And why is this a thing?

==============================================

View attachment 3180555

View attachment 3180558
Huyu ajuza kwenye hii video naona anachanganyikiwa.
Hizi pesa zipo kwenye bajeti serikali ya ofisi ya rais au ikulu.
Mfuko wa rais Haina maana hizi ni pesa anaongezewa juu ya mshahara wake rais au anaweza kyzitumia kwa matumizi binafsi.
Hizi ni pesa za rais kutumia kwa masuala madogo madogo atayoletewa na wananchi akiwa katika ziara zake za kikazi. Hii ni kujenga na kuimarisha heba ya rais mbele ya wananchi wake. Wananchi hawawezi kumletea hoja ndogo rais akaiacha bila kipozeo. Ikiwa ni suala kubwa atamuamuru waziri mhusika kulifuatilia.
Milioni 60 mbona ni pesa ndogo sana.
 
Sawa wanaingiza pesa nyingi

Rais wetu analipwa Shingapi?
 
Mimi sio CHADEMA

Na still CHADEMA hawajashika dola. We will judge them wakishaingia.

Kama Rais analipwa mshahara, anapewa posho za safari na familia yake inahudumiwa kila kitu anahitaji Milioni 60 tena ya nini?

Kwanini Rais apokee Milioni 60 ambayo ataamua ataifanyia nini wakati kuna watu wanalala chini mahospitalini?

Ni nchi gani unayoijua wewe inafuata utaratibu huo?
Kwahy huwez kuhoji itakuwaje chadema wakishika nchi kisa hao chadema bado hawajashika nchi? Hongera mkuu 😂
 
Wakuu,

Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?

Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.

Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?

Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And why is this a thing?

==============================================

View attachment 3180555

View attachment 3180558
Huyu ni typical women that were never ever taken by their men toooo.. nyookoo zakee... Kakeketwaa kwanza huyu..
 
Huyu ajuza kwenye hii video naona anachanganyikiwa.
Hizi pesa zipo kwenye bajeti serikali ya ofisi ya rais au ikulu.
Mfuko wa rais Haina maana hizi ni pesa anaongezewa juu ya mshahara wake rais au anaweza kyzitumia kwa matumizi binafsi.
Hizi ni pesa za rais kutumia kwa masuala madogo madogo atayoletewa na wananchi akiwa katika ziara zake za kikazi. Hii ni kujenga na kuimarisha heba ya rais mbele ya wananchi wake. Wananchi hawawezi kumletea hoja ndogo rais akaiacha bila kipozeo. Ikiwa ni suala kubwa atamuamuru waziri mhusika kulifuatilia.
Milioni 60 mbona ni pesa ndogo sana.

Vipi ikatokea hayo masuala madogo madogo hayajatokea, Rais atarudisha hiyo pesa au inakuaje?

Na kama Rais ndio anaamua hiyo pesa ifanyie nini, kuna law au kanuni gani inayomkataza yeye kutotumia hiyo pesa kwenye matumizi yake binafsi?

Je hayo matumizi ya Rais kwenye hiyo Milioni 720 kwa mwaka yanahakikiwa na CAG?
 
Has she ever asked her Dad the favor she had from him !!!!?? Where it Came fromm..
Damn this woman..why doesn't she quit!
 
Wakuu,

Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?

Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.

Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?

Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And why is this a thing?

==============================================

View attachment 3180555

View attachment 3180558
You are No BODY..but a mind twister..
 
Hela ndogo sana hiyo.
 
Back
Top Bottom