Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
- Thread starter
- #41
Kwahy hy pesa imeanzia kwa JPM?
Nyie chadema mngeupata urais mngeikataa hy pesa?
Mimi sio CHADEMA
Na still CHADEMA hawajashika dola. We will judge them wakishaingia.
Kama Rais analipwa mshahara, anapewa posho za safari na familia yake inahudumiwa kila kitu anahitaji Milioni 60 tena ya nini?
Kwanini Rais apokee Milioni 60 ambayo ataamua ataifanyia nini wakati kuna watu wanalala chini mahospitalini?
Ni nchi gani unayoijua wewe inafuata utaratibu huo?