Huu mwandiko unafanana na mwandiko wa Abdul hafidhiMbona pesa ndogo sana hiyo.
Kwanza mshahara wake unatakiwa uwe si chini ya M 200 kwa mwezi.
kuongoza wapumbavu hawa sio kazi rahisi sana. Ina umiza kichwa.
Povu. Ruksa
Kama watanzania wote tungekuwa na upeo na uwezo wa kujiuliza maswali kama haya hakika kungekuwa na mabadiriko makubwa sana kisiasa. Transparency, Responsibility and Accountability
🤝Kuongoza wapumbavu hawa sio kazi rahisi sana. Ina umiza kichwa.
Mbona pesa ndogo sana hiyo.
Kwanza mshahara wake unatakiwa uwe si chini ya M 200 kwa mwezi.
kuongoza wapumbavu hawa sio kazi rahisi sana. Ina umiza kichwa.
Povu. Ruksa
Mbona pesa ndogo sana hiyo.
Kwanza mshahara wake unatakiwa uwe si chini ya M 200 kwa mwezi.
kuongoza wapumbavu hawa sio kazi rahisi sana. Ina umiza kichwa.
Povu. Ruksa
Naungana na wewe mkuu.🤝
Kuongoza raia ambao muda wote wanawaza simba na Yanga ni kazi kubwa mno, Mm nashauri aongezewe mshahara
Unauliza wakati unajua ni wizi wa kawaida tena wa kiwango cha juu? Kwanini namna hii watu wasiuane kwa sababu ya ulaji rahis aka urais?Wakuu,
Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?
Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.
Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?
Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And why is this a thing?
==============================================
View attachment 3180555
View attachment 3180558
Hapana mkuuHuu mwandiko unafanana na mwandiko wa Abdul hafidhi
Nchi ya wajinga sana hii acha apige hela atakavyo🤝
Kuongoza raia ambao muda wote wanawaza simba na Yanga ni kazi kubwa mno, Mm nashauri aongezewe mshahara
Nchi tajiri sana hii mkuu.Yaani Milioni 60 kwa mwezi ni hela ndogo?
Hivi unajua kuna watu wanakufa mahospitalini wanakosa 150k ya matibabu?
Na unataka Rais wa Tanzania alipwe Milioni 200 kwa mwezi yaani mshahara wa zaidi y Rais wa Marekani?
Unaishi Tanzania kweli?