Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Erio amemaliza kwetu sisi maamuma ya kuwa;
Cause of death:CARDIAC ARREST SECONDARY TO COMPLICATED(SEVERE)MALARIA
Machiavellian believes in βwho has the power/money has the say.βWewe P Ulisikiaje minongono hii,au na wewe ni wale jamaa wa systerm wa kuweka mambo sawa?
Well done, Hoja yako jana ilikuwa ya msingi sana
Kweli Ikulu walikurupuka kutowa taarifa pumgufu.
Huku mtaani kwangu Tayari speculation zilikuwepo ya kuwa eti 'Magu hakuufurahia ushauri wa Mkapa wa Tume huru''
Na kwa hiyo Mkapa alimnunia Magu,
Na kwa hiyo Magu kamtumia wale jamaa wasiojulikana
Na kwa hiyo wamemkolimba.
Haya ndio maneno yaliyokuwa yanaanza kusambaa mtaani,
Kisa nini Taarifa ya msiba kutolewa pungufu.
Naona sasa mambo yako sawa.
Thank You P.
Ndiyo nikasema inaweza kutokea kwa mtu yoyote i.e. kuna sababu nyingi tu zinazosababisha inaweza kuwa siyo hiyo malaria kama wewe ulivyo suggest. Anaweza kuwa alikuwa na underlying heart condition ambayo haikujulikana nk. Kuna sababu nyingi na inaweza kutokea kwa yoyote.
Alilazwa kwa malaria mshtuko kaupata akiwa ana malariaHivi cardiac arrest huwa mgonjwa analazwa hospitali, anapiga stori na wanaomtembelea wee ndipo inamuua? Hapa kuna walakini. Itoshe tu kusema RIP Mkapa. Mambo mengine wanafamilia waendelee kuyafanya siri yao, wasiingie kwenye mtego wa kutuliza uvumi unaoendelea.
Still connecting the relation of Malaria with Cardiac arrest sipati jibu? but kuna uhusiano mkubwa kati ya upumuaji na shambulio la moyo.
Jiongezeni wakubwa, Israel mtoa bado anawinda roho za watu wenye shingo ngumu.
Shambulio la moyo kwa kiswahili,kwa kisukuma ni ng'witulo gwa moyoCardiac arrest kwa kisukuma ndio nini?
Still connecting the relation of Malaria with Cardiac arrest sipati jibu? but kuna uhusiano mkubwa kati ya upumuaji na shambulio la moyo.
Jiongezeni wakubwa, Israel mtoa bado anawinda roho za watu wenye shingo ngumu.
Utata uko wapi hapo sasa?Msemaji anasema Rais Mkapa kafia kwenye Kiti ghafla. JK anasema aliugua na alipata lisaa lizima kuongea nae kabla ya umauti. UTATA!
Severe Malaria acha kutufanya wajinga mkuu, ungeniambia labda Marehemu Hayati Mkapa alikuwa na Kisukari kidogo ningekuelewa ila uhusiano wa malaria na magonjwa ya moyo ni vitu viwili tofouti labda madaktari waliokuwa wakim attend Mh. Rais walikuwa hawajui wanatibu nini?Erio Ameweka Wazi.....
Cause of Death:Cardiac Arrest Secondary to Complicated(Severe Malaria).
Mjadala umemalizwa vizuri na ndg.Erio.
Rest In Peace Benjamin W.Mkapa,aaamen.
Mkurugenzi wa NSSF. Mtoto wa dada yake na Mkapa. Enzi za JK alikuwa Mkurugenzi PPF.
Acha uzwazwa unajua incidence ya kutokea cardiac arrest. Ficha upumbavu wako?Ndugu zangu wenye chuki mnapata tabu sana, Kwani wewe umeambiwa Shambulio la moyo ni lazima liwe na connection na Malaria. Cardiac arrest inaweza kutokea kwa mtu yoyote hata yule ambaye hajawahi kuwa na historia kuugua Moyo
Emb kadanganye pimbi wenzako huko wasiojielewa! Unaijua malaria mpaka stage ya kuua ilivyokuwa wewe? Unatoka kuangalia maccm kwenye tv kisha unasema ulikuwa na malaria iliyosababisha kifo?Yaah MALARIA imepelekea MSHITUKO WA MOYO na moyo ukashindwa kufanya kazi na mwishowe moyo ukafa....
πππππππ
Hilo hapo wasipoelewa Wenzangu ninaouza nao Al Kasus huku Tandale Basi tena....nashauri msinywe Al Kasus zao usalama wa afya ni mdogo....
UshaamkaMkurugenzi wa NSSF. Mtoto wa dada yake na Mkapa. Enzi za JK alikuwa Mkurugenzi PPF.
Kwa mazingira aliyoyazungumza mtoto sijui kikwete alienda kumuona wapindammu,
Kumbuka jana yake kikwete alikuwa hospitali na marehemu wakipiga story, sidhani kama hospitali ni wajinga kuruhusu kikwete kama mkapa angekuwa na corona.
Mwanafamilia hatuzuii kusema ukweli juu ya Tatizo la upumuajiza kumbiwa changanya na zako
Mtoto wa mkapa kajichanganya sanaKwa mazingira aliyoyazungumza mtoto sijui kikwete alienda kumuona wapi