Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

Still connecting the relation of Malaria with Cardiac arrest sipati jibu? but kuna uhusiano mkubwa kati ya upumuaji na shambulio la moyo.

Jiongezeni wakubwa, Israel mtoa bado anawinda roho za watu wenye shingo ngumu.
Cardiac arrest ni matokeo ya mwisho, nyuma yake huwa kuna mambo mengi including infection e.g Malaria, yaweza kuwa high blood pressure, Diabetes, etc. There is no need to continue debating on the cause of death. Mtu akipata Severe malaria anaweza kupoteza maisha within.short time.
 
Alikua anafuatilia matokeo ya uchaguzi, nadhani kunamatokeo yalimpa mshtuko.
 
Usiwe mgumu kuelewa. Sasa kama pale palianza kuwa na hiyo idara unadhani imevunjwa baada ya JKCI kuanzishwa?

Au ndo wanachukulia utaalamu pale/ kushea wataalam

Maana yangu ilikua kwamba pale wana uwezo mkubwa kuliko hata kule Muhimbili
Sizungumzi uwepo wa cardiac unit ilikuwepo kabla ya JKCI na ipo ,nachosema kwa sasa JKCI wana huduma za Cardic bora zaidi. Nadhani hukunielewa vizuri. JKCI ni taasisi inayojitegejemea haiko chini ya Muhimbili. Kuna tofauti ya kuwa na Cardiac Unit na Cardiac Institute. Anyway kama unasema hapo wana utaalamu na huduma bora kuhusu Cardiac issues kuliko JKCI sawa. Shukran Mkuu
 
Unazusha.. msemaji anasema alikua hospitali na kilicho mpeleka ni malaria.

Akiwa hapo hospitali hiyo jioni alikua anafuatilia uchaguzi kwenye TV.. mara ghafla heart attack
Msemaji anasema Rais Mkapa kafia kwenye Kiti ghafla. JK anasema aliugua na alipata lisaa lizima kuongea nae kabla ya umauti. UTATA!
 
Usichanganye cardiac attack na cardiac arrest. Kuwa na elimu nusu kunaweza kuwa na madhara makubwa kuliko kutokuwa na elimu kabisa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Haya mm pimbi loooh
Endelea kujifurahisha kutokana na msongo wa mawazo........πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwanini hawataki kutaja hiyo hospitali ya usalama.

Je viongizi hawawezi kufanyiana madudu hapo kijitinyama?

Swali langu ni la kipumbavu sana.
 

Mkuu sio tu kuwa wawazi ila kutumia simple reasoning unapotoa taarifa ambayo ni ambiguous- haijakamilika wakati kuna dozens of experts, labda kama imeamuliwa taarifa iwe hivyo β€œkwa sababu maalum”.

BTW zama hizi wataalamu wetu watafiti etc naona wamekua ziii wanavuta salary tu siku ziende hakuna anayekohoa facts!
 
Paskal huo hauwezi kuwa ukweli kwa wote kila mmoja amebakia na kile anachokiwaza, binafsi najua mzee kafariki kwa covid 19 lakini wana familia kwa kuogopa kutengwa na jamii kwa siku 14 , ukweli kila mmoja anao wa kwake acha familia waseme yao lakini wengine watabaki na yao
 
Usichanganye heart/cardiac attack na cardiac arrest. Tafadhali msidandie hii taaluma. Jaribu hata ku-google utaelewa.
Unazusha.. msemaji anasema alikua hospitali na kilicho mpeleka ni malaria.

Akiwa hapo hospitali hiyo jioni alikua anafuatilia uchaguzi kwenye TV.. mara ghafla heart attack
 
Ila wananchi waache uzushi..

Wengine wanasema eti ili kuficha ujio wa lissu,

Nani asiye na ubinadamu afanye haya eti kuogopa lissu.

Nadhani wananchi watulie na wazingatie sababu zinazo elezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…