Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 2,969
- 3,392
Wabongo gani walioshindwa? Wapo watanzania wana uwezo mkubwa na uzalendo. Ila wanapigwa vita. Sehemu kama hizo wanapelekwa wanaojuana, hata kama hawaweziLet us agree to disagree, usinilazimishe niamini unacho amini, hoja yangu ni kwa DP world itaongeza ufanisi na mapato serikalini yataongezeka.......sisi wabongo tumeshindwa kuendesha bandari kwa mda mrefu
Wanapewa ku simamia " management" au kuwekeza na kusimamia ?Naijua Konecrane na nimeshapanda na kui Guide.
Kampuni zote kubwa zina Exclusivity usitegemee, kampuni XXX iingize Trilioni kadhaa Konecrane halafu mzigo huo huo wapewe kampuni YYY lazima kuwe na period ya miaka kadhaa watumie kisha wapewe na wengine,
pia kuna personalization nyingi sana zinafanywa. Kuanzia Software itakayotumika, size ya Bandari, Crane zitakazotumika, controller, sehemu za Kuhifadhia na mambo kibao, hivi vitu ni Complex sana.
Huwezi ku Achieve same System kama Dp world na player wengine wa kubwa wa Bandari. There is a reason kwanini bandari zote zinapewa kampuni binafsi mpaka Nchi ambazo hazi entertain hizi mambo kama China.
Ok, tuambie wewe, ROI yao ni muda gani? Mkataba wao utakuwa hai hadi lini? Hilo ndilo swali kuntu linaloumiza watu vichwa,ukiweza kulijibu kwa ufasaha utakuwa umetusaidia sana.Zinauzwa serikali aitaki kununua kwa sababu ni hela nyingi serikali inaona kama kuna mtu yupo tayari kununua na kurudisha hela yake wampe muda; basi iwe ivyo (sasa usije kusema muda wa milele) maana hilo halipo.
Je kijiografia Dar Port ni Potential Mshindani wa Dubai Port?Kama wana akili timamu kutakuwa na kipengele cha kupimana na kutokumuongezea muda akishindwa.
Hila kwenye nchi ambayo meli zina subiri kutia nanga majini kwa siku kadhaa kisa uwezo mdogo wa kushusha mizigo; sioni ufanisi ukiongezeka na mizigo isiongezeke jumlisha na nchi zinazotumia hiyo bandari na zenyewe zinakuwa kiuchumi.
Dar port ni cash cow which hasnโt been utilised efficiently itโs time ya kuita watu wenye uzoefu wa kimataifa tena kwenye busiest ports duniani kama Rotterdam, Antwerp, Sharjah na Southampton; DP world wapo kote huko.
Congo hapo Dp world kawekeza Trilioni 3, halafu tunadanganyana humu Eti anakuja kutumia Mkopo wetu bank ya Dunia. Unafikiri kutransform bandari ni kazi ya vimilioni kadhaaNonsense. Hata huelewi kilichoandikwa unaumia roho tu kwa hisia za wakwetu.
Jibuni hoja, raia uwekezaji wanautaka ila vipengere vinavyoonekana vibovu virekebishwe. Siyo kusema tu ooh haya nimakubaliano ya awali., ujinga tu.Badala ya kutafuta makala ya bandari ya Dar na kumsikiliza mkurugenzi wa port.
Yote hayo keshayaongelea issue ni cranes za kisasa ambazo hazitoshi.
Pili wawekezaji wameelezea wanachoenda kuongezea wao hapo bandarini.
Wewe unatoka kwenda kumsikiliza kichaa mmoja Twitter ndio source yako; badala ya kuwasikiliza wahusika tena video wameonyesha ya kilichofanyika bandarini.
Inawezekana mifano ya antwerp na rotterdam si sawa na hapa kwetu. Huko kwa wenzetu umetaja tu operational contract je wana framework contract au laSharjah ni kama nyumbani kwao ipo UAE
Huko Antwerp, Rotterdam na Southampton kila sehemu watakuwa na mikataba tofauti.
Mfano Southampton wana operation contract ya container terminal, wameingia mkataba tena na operator mwingine humo humo ndani ya kuwafanyia services machines zao, bado wana contract ya security ya port nzima.
Sio mambo ya kukariri kila nchi watakuwa na mikataba yao, maswali mengine kuyajibu yanataka research ya kutosha wana mikataba gani kila sehemu.
Tanzania watakuwa na mkataba wa development sehemu zilizotajwa tu kwenye appendix 1 (na term zenyewe bado awajakubaliana na TPA) si ajabu wakashindwana huko mbele kufikia muafaka.
Kwa hivyo kusema watakuwa na mkataba kama wetu wakati aupo bado ni upotoshaji.
Kilichopo kwa sasa ni framework ya kuingia mkataba lakini hakuna mkataba wowote wa utekelezaji ambao wameshakubaliana mpaka sasa katika maeneo ya ushirikiano yaliyo orodheshwa.
Wewe Ni punguani kaa kimya. Empty set.Let us agree to disagree, usinilazimishe niamini unacho amini, hoja yangu ni kwa DP world itaongeza ufanisi na mapato serikalini yataongezeka.......sisi wabongo tumeshindwa kuendesha bandari kwa mda mrefu
Unajua kilichopitishwa bungeni?Kwani mkataba wa Dp world na Tpa tayari? Mbona mnaendekeza Cheap Politics hivi?
Dp world vifaa vyao sio vya kitoto eti waje watumie Existing infrastructure, Hizo Crane na miundombinu mingine capability yake wanayo wao tu ama ni kampuni chache zenye uwezo huo.
Kusema kwamba Dp world wanatutegemea sisi eti mkopo wetu wa World Bank uwawezeshe wao ni chai ya mchana.
Haahaaaaaa.... Wee jamaa una uvumilivu Sana asee. Yaani umemjibu kwa upole Sana.Upo sawa mkuu. Baada ya kuzingatia sheria za nchi, cha msingi ni ufanisi na maximum profit.
Vyote kuwekeza na kusimamia, Dp world katransform Bandari Karibia zote Ulaya kwenda Digital, na sasa hivi hata Crane zao ni remote tu. So ili waweze kufanya hivi inabidi kwanza wawekeze halafu ndio logistics zifuatie hivi vitu vinaenda sambamba.Wanapewa ku simamia " management" au kuwekeza na kusimamia ?
Na mikataba yao ni kama huu wa kwetu?
Hatari sanaHii ni kutoka report ya Worl Bank .................................BY MARIA SARUNGI
Muhimu kuhusu DPW na mradi wa Benki ya Dunia
Pesa za mkopo wa @WorldBankAfrica zimetumika (na kukamilika)
๐๐ฝ kupanua na kuimarisha Gati 1-7 na kujenga gati mpya Gerezani
๐๐ฝkupanua mlango wa bandari hadi Gati 11
๐๐ฝkuboresha na kuunganisha na reli
๐๐ฝ Kupanua na kuimarisha Gati 8-11
๐๐ฝKuna RORO terminal ilijengwa na kukamilishwa
Sasa tuangalie wanachodai DP World kufanya kwa mujibu wa IGA
Cha kwanza kikubwa eti kujenga, kuendesha na kusimamia RoRo terminal na Gati 1-4 na gati 5-7
๐
Yaani pesa zote zimewekezwa za walipa kodi kupitia mradi wa sasa wa WB alafu wao wanakuja kuendesha na kusimamia? Wanawekeza nini??
Ndiyo maana mkataba haujawekwa thamani ya uwekezaji wao ๐ kumbe wanadandia mradi unaoelekea kukamilika waje wajisifu!
YAANI KIUFUPI WANAKUJA KUTEKELEZA MRADI WA PESA ZA MKOPO WA WORLD BANK
Nyieeeeeeeeee!
Mnaotetea mkataba huu mnajua kuwa mnatumika kutetea ulaji wa genge ndogo!?
Ila #TutaelewanaTu
Sasa kwanini unasema hakuna mkataba ulioingiwa?Mkataba wa nchi Tz na Dubai. Bado mikataba midogo midogo kama huo wa Tpa na Dp world.
we kumbe huna akili kiasi hicho? Bure kabisa. Kwanza taarifa zako ni za uwongo, pili serikali imejenga miundo mbinu DP World anakuja kuendesha bandari. Huoni tofauti hapo? Aliyejenga barabara za mradi wa DART ni serikali lakinin anayeendesha mradi wa mabasi ni mwingine, hapo huelewi au una matatizo ganiHii ni kutoka report ya Worl Bank .................................BY MARIA SARUNGI
Muhimu kuhusu DPW na mradi wa Benki ya Dunia
Pesa za mkopo wa @WorldBankAfrica zimetumika (na kukamilika)
๐๐ฝ kupanua na kuimarisha Gati 1-7 na kujenga gati mpya Gerezani
๐๐ฝkupanua mlango wa bandari hadi Gati 11
๐๐ฝkuboresha na kuunganisha na reli
๐๐ฝ Kupanua na kuimarisha Gati 8-11
๐๐ฝKuna RORO terminal ilijengwa na kukamilishwa
Sasa tuangalie wanachodai DP World kufanya kwa mujibu wa IGA
Cha kwanza kikubwa eti kujenga, kuendesha na kusimamia RoRo terminal na Gati 1-4 na gati 5-7
๐
Yaani pesa zote zimewekezwa za walipa kodi kupitia mradi wa sasa wa WB alafu wao wanakuja kuendesha na kusimamia? Wanawekeza nini??
Ndiyo maana mkataba haujawekwa thamani ya uwekezaji wao ๐ kumbe wanadandia mradi unaoelekea kukamilika waje wajisifu!
YAANI KIUFUPI WANAKUJA KUTEKELEZA MRADI WA PESA ZA MKOPO WA WORLD BANK
Nyieeeeeeeeee!
Mnaotetea mkataba huu mnajua kuwa mnatumika kutetea ulaji wa genge ndogo!?
Ila #TutaelewanaTu
Sasa ulitaka bandari ikae isitumike?Hii ni kutoka report ya Worl Bank .................................BY MARIA SARUNGI
Muhimu kuhusu DPW na mradi wa Benki ya Dunia
Pesa za mkopo wa @WorldBankAfrica zimetumika (na kukamilika)
๐๐ฝ kupanua na kuimarisha Gati 1-7 na kujenga gati mpya Gerezani
๐๐ฝkupanua mlango wa bandari hadi Gati 11
๐๐ฝkuboresha na kuunganisha na reli
๐๐ฝ Kupanua na kuimarisha Gati 8-11
๐๐ฝKuna RORO terminal ilijengwa na kukamilishwa
Sasa tuangalie wanachodai DP World kufanya kwa mujibu wa IGA
Cha kwanza kikubwa eti kujenga, kuendesha na kusimamia RoRo terminal na Gati 1-4 na gati 5-7
๐
Yaani pesa zote zimewekezwa za walipa kodi kupitia mradi wa sasa wa WB alafu wao wanakuja kuendesha na kusimamia? Wanawekeza nini??
Ndiyo maana mkataba haujawekwa thamani ya uwekezaji wao ๐ kumbe wanadandia mradi unaoelekea kukamilika waje wajisifu!
YAANI KIUFUPI WANAKUJA KUTEKELEZA MRADI WA PESA ZA MKOPO WA WORLD BANK
Nyieeeeeeeeee!
Mnaotetea mkataba huu mnajua kuwa mnatumika kutetea ulaji wa genge ndogo!?
Ila #TutaelewanaTu
We ng'ombe hakuna nchi duniani inaitwa DubaiMkataba wa nchi Tz na Dubai. Bado mikataba midogo midogo kama huo wa Tpa na Dp world.
Tena ni myama mkali sana.Samia mnyama katili sana.