PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 722
- 2,225
Kwani migodini serikali inapataje uhakika wa mapato na matumizi?Wakiipata na wasitoe serikalini mtafanya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani migodini serikali inapataje uhakika wa mapato na matumizi?Wakiipata na wasitoe serikalini mtafanya nini?
Kwa hiyo kwenye haya, huyu muwekezaji atacontribute kitu gani?
Kama wana akili timamu kutakuwa na kipengele cha kupimana na kutokumuongezea muda akishindwa.Volume isipoongezeka? Tumkamate nani?
Wizara ya fedha waliwaita credit agency kuja kuwafanyia tathmini ya kukopa wamepata B1+ hizo sifa wanazopewa ni sawa na kutoka F10% na baada ya tathmini ukapewa F20% bado sana kufikia ata pass mark ya chini C40%.Kwahiyo tukusikilize Wewe tuachane na waziri wa fedha na hizo taasisi?
What is TF? ExplainTf Ni vipi ipo pia
Maria anasema haya yote yanafanywa na mkopo wa World BankView attachment 2676204
Kwa kuanzia tu bandarini kuna multi storage car park?
Kingine wanampago wa kuamisha Ro-Ro kutoka hapo ilipo.
Wana mpango wa kuboresha terminal ya abiria na majahazi.
Wana mpango wa kuongeza uwekezaji kurasini kuweka kupokea mizigo mingi inayokwenda nje ya nchi.
Wana mpango wa kuweka ICT system inayoweza track mzigo unapoingia melini kokote duniani mpaka unatoka ata wewe mteja unaweza jua mzigo wako ulipo.
Mambo yote yameelezwa hapo phase 1 wao watafanya nini.
Huko Antwerp, Southampton, na Rotterdam , wazungu walioingia mkataba na waarabu kwa mkataba sawa sawa na kama huu tunaohimiza urekebishwe?duniani Rotterdam, Antwerp, Sharjah na Southampton ni amongst the busiest ports duniani na DP world wapo kote huko.
Timeframe ya mktabaWhat is TF? Explain
Lakini mkuu,kila mwenye kupinga mkataba huo kaweka na vipengele anavyovipinga,wanasema uwekezaji hata wa hao dp si tatizo,tatizo wameliona kwenye huo mkataba mnaouita makubaliano,na wameviainisha kabisa,sasa nyie mnaoutetea mungefanya kama walivyofanya hao wanaoupinga mungetupq imani kubwa kwa mradi huo,ila hamjafanya chochote ktuaminisha sisi wananchi ubora wa uwekezaji huo ni upi,ona, kila siku wenzenu wanakuja na hoja mpya zenye references,nyie mnaishia kuwapinga wanaopinga badala ya kutuambia ubora wa mkataba huo kwa ushahidi kama wanavyofanya wenzenu,hadi hapa sisi wananchi common tunalazmika kuwaamini hawa wenye kupinga kwa ushahidi,wanasema mmelipwa kuutetea,na tunalazimika kuamini hivyo.Sijui kwa nini watu hawaoni umhimu na ufanis wa DPW na hawasemi tatizo ni nini wako too general.
Sharjah ni kama nyumbani kwao ipo UAEHuko Antwerp, Southampton, na Rotterdam , wazungu walioingia mkataba na waarabu kwa mkataba sawa sawa na kama huu tunaohimiza urekebishwe?
Mkataba wa nchi Tz na Dubai. Bado mikataba midogo midogo kama huo wa Tpa na Dp world.Kilichosainiwa na kupitishwa bungeni ni nini?
Nonsense. Hata huelewi kilichoandikwa unaumia roho tu kwa hisia za wakwetu.Kwani mkataba wa Dp world na Tpa tayari? Mbona mnaendekeza Cheap Politics hivi?
Dp world vifaa vyao sio vya kitoto eti waje watumie Existing infrastructure, Hizo Crane na miundombinu mingine capability yake wanayo wao tu ama ni kampuni chache zenye uwezo huo.
Kusema kwamba Dp world wanatutegemea sisi eti mkopo wetu wa World Bank uwawezeshe wao ni chai ya mchana.
Ulishindwa wewe?au serikali hii hii? Serikali iliyoshindwa kufanya,iliyoshindwa kupanga,na ikashindwa kuamua leo tuisifie kwa kufanya maamuzi yenye kutia shaka? Eti kwa sababu inafanya kitu lichoshindwa kukifanya vyema?tunaaminje kuwa this time wanafanya kwa ufanisi? Tena huko nyuma serikali ili "die trying" this time ni kama ime give up,think bigHuo ndo ukweli na tatizo ni lipi waseme bayana siyo kuwa too general na kupotosha umma. Kama mtu hana capacity ya kuchambua hili bora kukaa kimya.
Tulishashindwa miaka kibao mpaka KAGAME alitucheka tukamjibu kwa kuwatimua Raia wa nchi yake.
Hiyo itatokana na kukaa chini kupigiana hesabu how much it will cost to invest in those areas.Timeframe ya mktaba
Kati ya wanaokataa na nyie mnaokubali tu nani analipwa?Ilimradi kila kukicha waanzishe uzi humu sijui wanalipwa!
Kwani mkurugenzi wa bandari sio mfanyakazi mbona anatetea? Huna hojaHawapendi maendeleo wengi ni wafanya kazi wa bandari, ulaji wao unaondoka kwa ujio wa Dp world lazima waanzishe nyuzi kila wakati