Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Wengi wao wana chuki na huyu mama ila pia wanufaikaji wa bandari wanawatumia ili tonge lisidondoke.Sijui kwa nini watu hawaoni umhimu na ufanis wa DPW na hawasemi tatizo ni nini wako too general.